malimingiii
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 968
- 1,343
Akimaliza miezi hajatongozwa anaanza kutafuta mchawi... akitongozwa shida..
Kweli mkuu uanaune sio kuvaa heleni au kula chipsHakuna cha laana wala nini.
Ndo uanaume wenyewe huo.
[emoji3] Makes the 2 of us...Hivi sasa nina flirt na wanawake watatu watsp... And they like it.
Tehhhh[emoji3] Makes the 2 of us...
Acha ushamba wewe mimi rijali lakini siko hivoMwanaume alietimamu Lazima atongoze, yaani Ukae na msosi mezani Huku unakufa njaa kweli huo ni utahaira
[emoji101]