Hivi wanaume mnakwama wapi jamani??

Dada unakosea ukisema wote kwakuwa Mimi haujawahi kuziona naniliu zangu😁😁!
wengine private parts huwa ndiyo priority yetu katika usafi
Maneno tu hayo hapo unakuta msitu wa amazon alafu ukishuka huko bondeni hapatamaniki
 
Mkuu, kweli unataka tusugue mbupu? Unajua jinsi gani zilivyo delicate? Yaani kwa jinsi zilivyokuwa soft halafu tusugue na dodoki tena kwa nguvu, hutupendi na wala hutaki ulalwe vizuri...
 
😂😂Teh teh teh teh 🤣🤣🤣 we ni noma! 👊👊👊.
 
Vita ya wanaume na wanawake JF haijawahi kuisha...

Haya bi mkubwa tutakuwa tunajiswafi, je una kingine unataka kutuelekeza?
 
Inaoneka unabahati mbaya mumeo ananuka gololi dada hahahaa pole
 
Hiyo ndio kazi yenu kabla ya 6 kwa 6 mnaleta ka taulo unasafisha vizuri pana kuwa fresh nitafute pesa nikupe nikusugue halafu ushindwe kusafisha makende yangu kweli?
Chakula unajipikia mwenyewe? Nguo unajifulia mwenyewe? Vyombo unaosha mwenyewe? Nyumba unasafisha mwenyewe?
 
Hoja zako zina mashiko ila kumuangalia mme wako ni wajibu wako
Ni wajibu wangu kama simsaidii kutafuta pesa wala kuhudumia familia ila ndoa za siku hizi ambazo mwanaume na mwanamke wote tunagangamala na maisha mchana kutwa

Usiku tunarudi tumechoka bado tena mnataka tukirudi tuanze kuwaangalia nyie? Na sisi nani anayetuangalia sasa?

Maana kama ni pesa wote tunatafuta na familia wote tunahudumia kwa sababu inaonekana wanaume wa siku hizi mmeshindwa kufanya hayo peke yenu sasa na sisi tunaporudi tumechoka nani atuangalie?

Hapo ndipo mnapofeli mwanamke anayetakiwa kumuangalia mumewe ni yule ambaye anashinda tu nyumbani anasubiri kuhudumiwa na mumewe hatafuti pesa wala kuhudumia familia ila sisi wengine mtakuwa mnatuonea tu
 
Kweli nakubaliana nawe
 
Ndo nimefunguliwaaaa.....busy busy na maishaa natafutaa hela ya kuhonga wanaume manake sisi ndo wanaume siki hizi
Naomba unihonge bure sitaki hata senti yako nakuta wewe kama wewe muda wote nipo tayari ni wewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…