Mamaa Kigogo
Senior Member
- Sep 26, 2011
- 105
- 43
hahahahaha. mamaa kigogo pole sana inaonekana una hasira kweli na baba kigogo, sio wote wako hivo wengine wanakupa kila kitu kasoro hayo mahaba tu anakuwa hampi mkewe, hivi kati ya chakula/matunzo na mahaba ungechagua nini swali tu la kizushi
Mamaa Kigogo umenena, maana mie mwenyewe huwa nafanya karesearch kangu kadogo ka kutazama wanaume wanaocheat nimeona wengi wana wake wazuri sana, sasa wenzetu labda mtuambie huko kwa wake zenu wazuri nini kinakosekana??? Je? kuna ugumu gani unaoupata wewe kama mwanaume kumwambia mkeo kile unachokipenda???? Lingine nimeona siku hizi kuna katabia ka wanawake kupenda "Ushirikina" nawaomba wababa tafadhali sana muwe makini na hawa wamama/dada wengine ndio wachangia msahau familia zetu. Mnisamehe mie ni dada nilichoandika hapa ndicho naona kila siku kinafanyika.

utakuta mtu ana mke tena nzuri kweli kweli huduma kumpa mkewe ni utata lakini hata chakula cha watoto tabu lakini akiombwa huko nje na micharuko anaonesha ufundi wote wa kuhonga waki nyumba kwake matatizo kibao hivi unategemea nini na nimegundua wake za watu hawapendi kuchiti kwa asilimia kubwa wanawake wana mapenzi ya dhati ila wanakuwa forced na vituko vya waume zao ndio maana wanakuwa rahisi kupata vishawishi nje ili wapate faraja angalau .haya huwa wanasingizia wanakosa mapenzi kwa wake zao ndo maana wanatoka nje ya ndoa watoto je ?wapi mihongo tu .nao watoto wanamakosa kuwalisha shida unaenda kulisha mijanamke ambayo ukiwa hauna unachapa lapa? wale wanaume wakware jirekebisheni ingekuwa ni uwezo wangu ningewapiga vipapai wote wenye tabia hizo ambao hawajuhi majukumu yao sijuhi waliowa ili iweje jirekebisheni habari ndio hiyo .
nawakilisha

kwenye red hapo unamaanisha misumari sio? sasa unataka uwazindike hata wasio wa kwako,maana umesema wote,si uonevu huo yaani Bishanga nijishtukie naosha vyomb,nadeki,sitoki ndani,nalia hovyo kisa mamaa Kigogo,lol!
Mamaa Kigogo umenena, maana mie mwenyewe huwa nafanya karesearch kangu kadogo ka kutazama wanaume wanaocheat nimeona wengi wana wake wazuri sana, sasa wenzetu labda mtuambie huko kwa wake zenu wazuri nini kinakosekana??? Je? kuna ugumu gani unaoupata wewe kama mwanaume kumwambia mkeo kile unachokipenda???? Lingine nimeona siku hizi kuna katabia ka wanawake kupenda "Ushirikina" nawaomba wababa tafadhali sana muwe makini na hawa wamama/dada wengine ndio wachangia msahau familia zetu. Mnisamehe mie ni dada nilichoandika hapa ndicho naona kila siku kinafanyika.
fanya vyooote lakin husisahau familia yako utalaaniwa bureeeee wajamen,kumbuka hata ukiumwa huyo kimada hutamwona kukuhudumia ni mkeo na familia yako,so twende mbele na kurudi nyuma home is the best
home is the best sawaaa, ila wanawake wanazidisha aisee duh!! kwanza wao kipato chao hawataki kitumike kutunza familia, zao zinaishia kwenye salon tu na mavazi ya bei mbaya eti unakuta mwanamke anaenda kusuka nywele laki 4 ila ndani hata maziwa ya watoto yakiisha hanunui anakupigia simu tu hata kama una kikao cha marafiki utasikia baba nanihiiii ukiwa unarudi nyumbani njoo na maziwa ya watoto yameisha aargh.., kuna wanawake hapa naskia wanaongelea viatu sijui CL pound 1400 ila kutoa na wao kidogo wachangie hata school fees hakuna, kwa wao jukumu loooote la kutunza familia ni la mwanaume aisee si bora mara moja moja na sisi tujipoze machungu na vya nje ya ndoa!!