Mamaa Kigogo
Senior Member
- Sep 26, 2011
- 105
- 43
utakuta mtu ana mke tena nzuri kweli kweli huduma kumpa mkewe ni utata lakini hata chakula cha watoto tabu lakini akiombwa huko nje na micharuko anaonesha ufundi wote wa kuhonga waki nyumba kwake matatizo kibao hivi unategemea nini na nimegundua wake za watu hawapendi kuchiti kwa asilimia kubwa wanawake wana mapenzi ya dhati ila wanakuwa forced na vituko vya waume zao ndio maana wanakuwa rahisi kupata vishawishi nje ili wapate faraja angalau .haya huwa wanasingizia wanakosa mapenzi kwa wake zao ndo maana wanatoka nje ya ndoa watoto je ?wapi mihongo tu .nao watoto wanamakosa kuwalisha shida unaenda kulisha mijanamke ambayo ukiwa hauna unachapa lapa? wale wanaume wakware jirekebisheni ingekuwa ni uwezo wangu ningewapiga vipapai wote wenye tabia hizo ambao hawajuhi majukumu yao sijuhi waliowa ili iweje jirekebisheni habari ndio hiyo .
nawakilisha
nawakilisha