Hivi wana CCM wanamuogopea nini Lowassa?

Hivi wana CCM wanamuogopea nini Lowassa?

mimibilly

Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
35
Reaction score
10
Naomba kuuliza ccm wanamuogopea nn lowasa??tangua ahamie chadema wamesahau kabisa kama na wao wana makufuli wakumpigia kampeni wao kila siku ni story tu kuhusu lowasa mara hiv mara vile,tuambien nn mchotetemeka kwa yy kuwahama,si ni mgombea tu kama wenu?? Nawashauri fuatilieni mambo yenu the more mnavyowashwa ndo lowasa anavyokuwa strong
 
yeye ndo master mind wa ushindi wa zaid ya asilimia 80 ya mwaka 2005 aliweza kuwafanya mpaka viongozi wa dini wamuone kikwete ni chaguo la mungu yani aliweza kuwafanya washabiki na viongozi wa simba washangilie yanga nadhani hapo wenye ufahamu wamenielewa na mpaka ccm inakufa haiwezi kuvunja record ya mwaka 2005
 
Lowassa anapendwa ndani ya Jeshi la wananchi kwa 95% , Huko Polisi ndio usiseme kwani amewasaidi sana Polisi kwa kipindi chake kile kifupi. Lowassa anaifahamu System ya Tanzania A to Z . Lowassa anafahamu kila deal inayofanyika ndani ya serikali ya CCM . Lowassa ana mashushushu wakutosha kumpa taarifa za kila jambo linalo endelea. Kumbuka kipindi cha kuenguliwa kwake wapo viongozi wa juu ndani ya CCM walio sadiki kutoa kauli kwamba pale CCM ilipindisha maamuzi. Jiulize sasa ni wangapi waliliona hilo na wapo kimya wakifanya mambo under ground. Hizo ni baadhi tu ya sababu zinazo wafanya CCM kukata tamaa ya kumzuia katika safari yake ya matumaini kwa Watanzania. Kamuulize Mwinyi. Atakuambia hapo pagumu muzee. Ukitaka kumshinda adui yako ni umjue vizuri.
 
CCM watumie huu muda kujipanga na kumnadi mgombea wao. Wasipoteze muda na mtu ambaye hayupo kwao.
 
Back
Top Bottom