Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,353
- 62,400
Mimi mama wa kambo alinikuta nimeshakua alaf nilikua kauzu kinoma hakuwahi kuona nikicheka kwahiyo hata kunisemesha alikua anaogopa chakula kikiwa tayar ananitumia sms tu, baada ya miaka 5 mbele niliondoka kwenda kuanza maisha yangu
Muda mfupi nilio kaa nae hakuwahi kuninyanyasa ila maisha bad yanaendelea sijui ya mbele
Muda mfupi nilio kaa nae hakuwahi kuninyanyasa ila maisha bad yanaendelea sijui ya mbele