Hii kitu sio kama anavyoeleza huyu ndugu, ukweli ni kuwa hawa CWT ni taasisi kweli inayoshughulika na walimu lkn sio wote kwnza ilikuwa lazma kujiunga na kuanza kukatwa lkn baadae walimu walianza kuhoji kuwa kama mifuko ya kijamii inakuja kushawish wafanyakaz wapya kujiunga ktk mifuko yao, kwann na cwt wasje kutoa elimu na kuvuna wanachama bdala yke wanalazimisha tu.
Basi baada ya kubanwa sana na walimu hasa wa shahada ya kwnza waliamua kufanya opption ktk kujiunga. Hivyo kwa sasa kuwa mwanachama wa CWT ni lazma ujaze fomu zao za uanachama na wala co utaratib wa zaman kuwa sku utakayopangiwa kituo cha kazi ya ualimu basi tayari unakuwa umeshakua MWANACHAMA WA CWT na utaanza kukatwa tangu mshahara wa kwanza.
Ndg yangu huenda ulikuwa na ushauri mzuri kwa walimu lkn kwa uandishi wako hakuna mwl au mtu mwingine atakaefurahia
Walimu wa nchi hii ni wapumbavu sana
Mkuu mke wangu ameanza kukatwa kwenye chama hiki na hajajaza fomu yoyote yupo kwenye ajira miaka 3 na ameanza kukatwa mwaka huu.