sabosabo
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 2,048
- 5,070
Hahaha,ndio hivyo mkuu[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Hahaha,ndio hivyo mkuu[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Si ndio hapo Mkuu,vip we unatoaga vijizawadi?Si bora hata hiyo boxer kuna wengine na vocha anataka umtumie na simu hakupigii anabip tu
Mkuu we vipi,huwa unakataa pesa?Hahaaaaw jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] unakuwa kama fisi vile unafukuzia mkono udondoke!