Hivi wale wanaokataa pesa bado wapo?

Hivi wale wanaokataa pesa bado wapo?

Yupo wakwangu huku mtaani kwetu,mpaka sasa kaninunia kabisa,ni mwezi sasa hanisemeshi, baada ya kumlazimisha saana achukue pesa!

Yeye anachosema hajanipendea pesa!
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Hahaha, upo vizuri,maana kuna mwingine unaweza ukampa hela ya kutosha tu lakini ukaishia zawadi ya boxer tu
Si bora hata hiyo boxer kuna wengine na vocha anataka umtumie na simu hakupigii anabip tu
 
Back
Top Bottom