Hivi wale wanaokataa pesa bado wapo?

Hivi wale wanaokataa pesa bado wapo?

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,662
Reaction score
7,834
Nauliza tu wadau miaka ya nyuma nakumbuka ilishanikuta sana hii miaka ya 80~90 unakuta demu mpo kwenye mahusiano ukimpa pesa atakataa serious kabisa sio kwamba ni ndogo ama amesusa kama hawa wa siku hizi yaani haitaki ukimlazimisha sana mtagawana nusu kwa nusu.
 
Nauliza tu wadau miaka ya nyuma nakumbuka ilishanikuta sana hii miaka ya 80~900# unakuta demu mpo kwenye mahusiano ukimpa pesa atakataa serious kabisa sio kwamba ni ndogo ama amesusa kama hawa wa siku hizi yaani haitaki ukimlazimisha sana mtagawana nusu kwa nusu.
Mkuu wameadimika mno siku hizi wanapokea mpka buku na kusema Asante baby kwa kunijari.
 
Hata hivyo pesa za nini wakati kila mmoja alikuwa anafurahia mechi ,baada ya mnapeana asante na pongezi sasa malipo ya nini?
 
Aisee, wapo na nimekwisha kutana nao. Inaetegemea una date mdada kutoka kwenye background gani. Ila wapo.
 
Wapo ila ni wachache. Mwezi jana tu hapo kuna mmoja nilimpa kiasi fulani cha hela akasema unanipa hela za nini? Tena unanipa hela zote hizo? akakataa kbs kuzipokea
 
Kwani wanaume ndio mna hela sana kuliko wanawake?
 
Yupo wakwangu huku mtaani kwetu,mpaka sasa kaninunia kabisa,ni mwezi sasa hanisemeshi, baada ya kumlazimisha saana achukue pesa!

Yeye anachosema hajanipendea pesa!
 
Hahahaha thubutu yako, kabla hujafikiria kumpa , yeye amesha omba pesa, kabka hujampa amesha weka na kiasi anacho taka, kabla kabla hujamuuliza kiasi gani umpe, amesha orodhesha list ya mahitaji yake

Utakoma sasa ukiona total ya list yake, unaweza kughairi na uhusiano wenyewe, maana inavuka kipato chako kwa mwezi mmoja mara 3 , yeye anahitaji kiasi hicho kwa muda huo huo ,
 
Back
Top Bottom