Hivi wakuu useremala hapa mjini bado unalipa? Nataka kutoka kwenye ajira kuirudia fani yangu

Pendaelli

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
8,920
23,246
Heri njema kwenu nyote,
Ningependa kujua kwenu wadau hapa mjini Dar, kazi ya useremala bado ina soko? natamani kuirudia fani yangu niliosomea na kuifanya kwa miaka kumi hivi niliiacha baada ya kupata ajira.

Sasa ajira imekua sio ajira bali utumwa na maslahi duni mno! Natamani sana kuirudia fani ila sijajua kwa sasa hali ikoje maana ni mwaka wa tano sasa toka niisitishe.
 
heri njema kwenu nyote,
ningependa kujua kwenu wadau hapa mjini dar kazi ya useremala bado ina soko? natamani kuirudia fani yangu niliosomea na kuifanya kwa miaka kumi hivi niliiacha baada ya kupata ajira.
sasa ajira imekua sio sio ajira bali utumwa na maslahi duni mno! natamani sana kuirudia fani ila sijajua kwa sasa hali ikoje maana ni mwaka wa tano sasa toka niisitishe.
Inalipa ukija ki sasa.. Sijasomea ila naplan ya kuwekeza uko mwakani... kama vipi uwe partner..
 
Inalipa ukiwa mwaminifu tu
Maana mafundi seremala wengi wazushi

Ova
 
Biashara ya useremala bado iko hot kwa kuwa matumizi ya mbao bado yapo juu,majejeza bado yana soko kubwa sana.
 
Mbadala wa bidhaa za chuma umepunguza kasi, bei zilikuwa zinapaa kuelekea kusikojulikana..
 
Biashara ya useremala bado iko hot kwa kuwa matumizi ya mbao bado yapo juu,majejeza bado yana soko kubwa sana.
Jeneza ndugu yangu sio biashara ile Ni huduma kwa kweli.
Namstaajabia mno Fundi anaetarajia faida kwenye shughuli hio!
 
Jeneza ndugu yangu sio biashara ile Ni huduma kwa kweli.
Namstaajabia mno Fundi anaetarajia faida kwenye shughuli hio!
Wauza majeneza wengi wana leseni za biashara na wana mashine za EFD na wengine wamesajiliwa VAT.
Wewe endelea kuamini ile ni huduma na sio biashara!
 
Heri njema kwenu nyote,
Ningependa kujua kwenu wadau hapa mjini Dar, kazi ya useremala bado ina soko? natamani kuirudia fani yangu niliosomea na kuifanya kwa miaka kumi hivi niliiacha baada ya kupata ajira.

Sasa ajira imekua sio ajira bali utumwa na maslahi duni mno! Natamani sana kuirudia fani ila sijajua kwa sasa hali ikoje maana ni mwaka wa tano sasa toka niisitishe.
Ukijiegemeza kwenye biashara ya majeneza, inalipa sana. Maana sote ni lazima tudedi, ukiwepo wewe mwenyewe seremala...
 
Back
Top Bottom