Hivi wakina Joyce mna matatizo gani?

Hivi wakina Joyce mna matatizo gani?

alikufanyia nini mpaka umkumbuke?
alinipenda yule dada nilikua natumiwa card nikipanga tranka limejaa kadi na barua zake

ila nilikua namchomole huwezi amini hadi namaliza four ile shule sikutaka hat mkubalia

mtoto wa watu hakuacha nitafuta hata tulipomaliza shule kwa msg ngumu za ahadi kwamba atanisubiri tu

Nikaja bahati mbaya poteza na namba yake ya simu

Leo hii ndio namkumbuka ule uzuri wake na jinsi alivyonipenda bure with nothing ila nikawa bichwa gumu

Nakutana na kina betina na kina zena wananinyooosha nabaki tu kuomba Mungu anikutanishe na Joyce

Asee ukiskia watu wamechezea dhahabu ndio mimi,nikiangalia picha za graduuu za yule mtoto leo hii

najisemea moyoni (nani aliniloga mimi) mtoto ni mzuri na saivi kashakomaa kawa dada atakuaaje.

ila mimi nina mikosi na mapenzi haya acha kabisa.
 
Aiseee pole kwa kumpoteza Joyce sabab ya uzembe
 
mkuu hata ukija kuonana nae hatakua na time na wewe tena.
 
Mkuu wewe sikia kwa wengine tu. Kuna demu wangu anaitwa Eva kila nikimtext lazima aniombe bela. Hadi nimeacha kumtmumia sms kabla ya mwezi maana wakati mwingine nakuwa sina hela kwa kuwa mshahara wangu ni.chini ya 300,000 kwa mwezi. Hivi nyie mademu mnaopenda hela kama nyani anavyopenda mahindi mabichi mna nini lakini????
ahahahahahahahahha mkuu huyo mwambie tu
 
gif-animado-nombre-joyce-MDE1MA==.gif

Dada Joyce Kiria njoo ujibu tuhuma hizi tafadhali
 
Wale tunaoanza kuomba game kwa kutuma elfu20 na 50 ili alainike kabla tujaomba kipochi tuko kundi gani?
 
Back
Top Bottom