Hivi wake zenu wapo kama huyu wangu?

Hivi wake zenu wapo kama huyu wangu?

Mfundishe ajue ya kwamba "Kila msaada unaoutoa leo kwa moyo mkunjufu kwa mwenye uhitaji malipo yake baraka kubwa kwa anayetoa hapa hapa duniani na kinyume chake vivyo hivyo"..Fikiria mwenye nyumba nzuri ya kifahari Mbezi beach ghafla ndani ya dakika 5 anajikuta hana nyumba tena maana imevunjwa bila kusikilizwa.
 
Mbwa huyo, mimi ni mwanamke na wanawake wa aina hiyo ndio wanaovuruga mahusiano ya ndugu na familia, tunang'ombe ya aina hiyo iliolewa na kaka yangu kwa tamaa ya pesa akaenda mloga mpk kaka yangu.
ngombe kama hyo pia iko kwetu ninalifanyia kazi hlo swala

kaka askii wala haoni bora mtoa mada bado akili zake zipo
 
Mbwa huyo, mimi ni mwanamke na wanawake wa aina hiyo ndio wanaovuruga mahusiano ya ndugu na familia, tunang'ombe ya aina hiyo iliolewa na kaka yangu kwa tamaa ya pesa akaenda mloga mpk kaka yangu.

We ni kind ya mawifi wenye gubu kama wachawi, olewa na huyo kaka yako mxyuuuu
 
Ndo Madhara Ya Kuchukua Tu Kwny Vigodoro Ucku, Na Asubuh Mnakua Mke Na Mume.

Mimi Kama Mchungaji Nakushauri Uckate Tamaa Endelea Kuzungumza Nae Kwa Upendo,upole,utulivu. Lakini Pia Ebu Mumpe Yesu Atawale Maisha Yenu Ambapo Yeye Atakuwa Mwamuzi Wenu. Maisha Ya Ndoa Bila Mungu, Utaona Ndoa Kama Jehanum Ndogo.

Lakini Pia Kama Una Hela, Ebu Mwezeshe Mdogo Wako Aanze Kufanya Chochote,hata Kama Mke Wake Kupika Keki, Ili Kujiwekea Mcngi Wa Maisha Yao. Mungu Akubariki Kwa Ushauri Zaidi Kupiga Cm. Mch.0786100772, au 0757856336
 
hizi stor nilikuwa naskia baada ya kaka kuoa duh nimeshuhudia

Kunani tena wifi mtu? Nanyie mawifi mna matatizo ha ha ha hebu mmuache kaka apumue na mke wake wakipendana ooh kalogwa jamani khaaaaa
 
Ndo wanawake walivo, muhim usimpe mdogo wako hela ya kula mfundishe mdogo wako namna ya kutafuta kula yake! Aangalie namna ya kufanya business na wewe uwe financier wa hiyo business hapo mtatoka pamoja
 
Ongea naye tu kiistarabu kama ana akili atakuelewa
 
Keshasema anaacha buku tano kwa siku mnahisi ana huo uwezo wa kumpa nduguye ndoano kweli? Eti BADILI TABIA
 
Last edited by a moderator:
Mme wangu nataka kupaka rangi kule saluni kwangu halafu kule ile nyumba yetu ya shamba itabidi tukaione mwisho wa mwezi
 
Keshasema anaacha buku tano kwa siku mnahisi ana huo uwezo wa kumpa nduguye ndoano kweli? Eti BADILI TABIA

Kama ana uwezo wa kumpa mkewe buku 5 kwa siku anashindwa kutafuta mtaji hata wa laki 3-4 akampa kaka yake afungue kigenge au kiosk au kibiashara? Au anaona raha kuombwa ombwa????
 
Last edited by a moderator:
Kama ana uwezo wa kumpa mkewe buku 5 kwa siku anashindwa kutafuta mtaji hata wa laki 3-4 akampa kaka yake afungue kigenge au kiosk au kibiashara? Au anaona raha kuombwa ombwa????

Huenda anao huenda hana...

Halafu inawezekana alishampa sasa wanasubiri mtaji uzae faida ndo aanze kutumia hivyo kwa sasa anamsaidia asijezidiwa akala mtaji.
 
Tatizo hapo sio utegemezi....tatizo ni 1. uchoyo
2. Kula leo mtu anaenda kuomba wakati mwenyewe mchana labda kapiga pasi ndefu????
3. Mwanaume kama anaakili angemtafutia kimtaji ndugu yake....sio kumpa vijisenti ambavyo havisaidii
Licha ya uchoyo huyu mwanamke ni tegemezi..Angekuwa na pesa zake sidhani kama angekuwa anazitolea macho pesa za mme wake kiasi hicho..

Anaweza akampa mtaji lakini still mambo yakawa hayamwendei vizuri..So kurudi mara moja moja kwa brother kuomba backup sidhani kama kuna tatizo..
 
Mbwa huyo, mimi ni mwanamke na wanawake wa aina hiyo ndio wanaovuruga mahusiano ya ndugu na familia, tunang'ombe ya aina hiyo iliolewa na kaka yangu kwa tamaa ya pesa akaenda mloga mpk kaka yangu.

hiyo ng'ombe muifanye muichinje kwenye x mass
 
Mimi sina hata cha kuchangia maana vituko kama hivi mnaokotana wapi sijui. Wanamke alofundwa akafundika hawezi kua na tabia mbovu kama hii.
Ikiwa umeshindwa kukemea hili janga tangu day one hata sijui nikuambieje maana it seems limeshaota mizizi. Pole sana...
 
Back
Top Bottom