Hukumuzuku
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,699
- 5,050
Suala langu kuwa je wakatoliki ndio think tank ya wakristo wote hapa Tanzania?
Hapa ningependa kujuwa kama Wakatoliki hapa Tanzania ndio Think Tank ya madhehebu yote ya wakristo hapa Tanzania.
Kilichonifanya nijiulize suala hili ni hili la Waraka wa wakatoliki. Kwa kweli vibaraka wote Kanisa hili mara baada ya kuutoa walimuuliza waziri mkuu, na kuupenyeza Bungeni ujadiliwe, walimuuliza shehe mkuu wa Bakwata na watu mbalimbali ikiwemo hapa jamvini.
Tumeona kila aliyediriki kuupinga alitukanwa na kukashifiwa sana mf Mzee Kingunge, Kakobe na wengine.
Lakini waandishi hao hao sijaona hata sehemu moja wakimuhoji Askofu mkuu wa KKKT askofu Malasusa au Askofu mkuu wa Anglicana Dr Mokiwa.
Kwani tunajuwa wazi kuwa KKKT ni wengi sana kulinganisha na wakatoliki hapa Tanzania. Na ukisoma wengi wananasibisha kuwa waraka huo ni wa wakristo na sio wakatoliki.

.Kwa kweli tumewachoka kabisa wewe HM Hafif na mwenzako burabura kuja humu ndani na mada na kauli chungu mzima za uwongo, zenye uchochezi na potofu kila mara, halafu mkitakiwa mfafanue utumbo wenu, MNATOKOMEA MITINI!! EITHER YOU DEFEND YOUR STATEMENTS BY SUBSTANTIATING AND CLARIFYING ON THEM AS REQUESTED OR MSITULETEE MADUDU YA KIPUUZI KAMA HAMUWEZI KUUTETEA HOJA NA KAULI ZENU!!!!
Nadhani nyie wawili ingebidi MFUNGIWE PERMANENTLY kwa kuteremsha hadhi ya JF! Nyambaaf kabisa!!
Hapa ningependa kujuwa kama Wakatoliki hapa Tanzania ndio Think Tank ya madhehebu yote ya wakristo hapa Tanzania.
Kilichonifanya nijiulize suala hili ni hili la Waraka wa wakatoliki. Kwa kweli vibaraka wote Kanisa hili mara baada ya kuutoa walimuuliza waziri mkuu, na kuupenyeza Bungeni ujadiliwe, walimuuliza shehe mkuu wa Bakwata na watu mbalimbali ikiwemo hapa jamvini.
Tumeona kila aliyediriki kuupinga alitukanwa na kukashifiwa sana mf Mzee Kingunge, Kakobe na wengine.
Lakini waandishi hao hao sijaona hata sehemu moja wakimuhoji Askofu mkuu wa KKKT askofu Malasusa au Askofu mkuu wa Anglicana Dr Mokiwa.
Kwani tunajuwa wazi kuwa KKKT ni wengi sana kulinganisha na wakatoliki hapa Tanzania. Na ukisoma wengi wananasibisha kuwa waraka huo ni wa wakristo na sio wakatoliki.
Suala langu kuwa je wakatoliki ndio think tank ya wakristo wote hapa Tanzania?
Hapa ningependa kujuwa kama Wakatoliki hapa Tanzania ndio Think Tank ya madhehebu yote ya wakristo hapa Tanzania.
Kilichonifanya nijiulize suala hili ni hili la Waraka wa wakatoliki. Kwa kweli vibaraka wote Kanisa hili mara baada ya kuutoa walimuuliza waziri mkuu, na kuupenyeza Bungeni ujadiliwe, walimuuliza shehe mkuu wa Bakwata na watu mbalimbali ikiwemo hapa jamvini.
Tumeona kila aliyediriki kuupinga alitukanwa na kukashifiwa sana mf Mzee Kingunge, Kakobe na wengine.
Lakini waandishi hao hao sijaona hata sehemu moja wakimuhoji Askofu mkuu wa KKKT askofu Malasusa au Askofu mkuu wa Anglicana Dr Mokiwa.
Kwani tunajuwa wazi kuwa KKKT ni wengi sana kulinganisha na wakatoliki hapa Tanzania. Na ukisoma wengi wananasibisha kuwa waraka huo ni wa wakristo na sio wakatoliki.
Suala langu kuwa je wakatoliki ndio think tank ya wakristo wote hapa Tanzania?
Turejee kwenye signature ya Invisible kabla ya ku post chochocte JF.
Tatizo lako HM Hafif unadhani na wakristu ni wehu kama waislamu, kila unapotoa thread lazima iwe ni ya udini. Sasa nakwambia kama unalipwa ili ulete thread za udini JF umekwama, wanaJF waliowengi ni wasomi na wanaelewa mbichi na mbivu.
Ulitegemea kwamba na ktk wakristu labda utasikia wamelipuana lakini hilo halipo, elimu baba. Waambie wenzako waliokupa vijisenti ili uchafue JF kwa udini kwamba kazi waliyo kutuma ni ngumu na hutaiweza.
"....utasikia mara bakwata......mara shura ya maimamu.......mara mpene....eh!!!....mtafika????.................JK upo????
Poleni sana na extremisim yenu,......lakini msiwafundishe watanzania kuvaa milipuko.
Ahali yangu Hafif. naomba unikosoe kama nitakuwa sijakuelewa.
Mimi nimeelewa kwa jinsi nilivyokusoma kuwa Wewe shida yako kubwa ni Kwa nini waandishi hawakumuhoji Mkuu wa kanisa Anglicana na mkuu wa kanisa la Kilutheri na kupata maoni yao.
Kijumla hapa waandishi imewapuruchuka sana kwani wamewanyima haki wananchi kujua mawazo yao. kwani kazi za mwandishi ni kuijuza jamii na wala sio kuiamulia jamii nini ifate.
Hapo wameteleza.
Na vile vile nimeelewa umeuliza kuwa Hao Catholics ni think Tank ya wakristu. Hiyo si kweli kwani hiyo ni matatizo ya waandishi kubana habari. naomba ujue waandishi wa huko tanzania wapo kibiashara zaidi na ushabiki na sio kuipasha jamii.
kama sijakuelewa vizuri nakuruhusu uni correct.
maa salaam
HM Hafif jibu swali: what do you mean by "Think Tank"?????????
Ndivyo kabisa nilivyokusudia. naomba unijuze zaidi.
Nchi yetu sasa imekuwa ni nchi inayofuata Siasa ya Dini iwe ya Kikristo au kiislam wakati wa Uhai wake Baba wa Taifa hili Mwalimu Nyerere alisema kuwa Siasa ya Tanzania na Seriakali haina Dini leo wameebuka Viongozi wa Dini kuwakemea Viongozi wa Siasa? jamani tunakwenda wapi na tunatoka wapi? hivyo tunaingiza mambo ya Dini na siasa? jamani kusije kukatokea Vita kama kunavyotekea katika nchi za nje zinazochanyanga Dini na siasa ? Nchi ambazo wanazo ingiza Dini na siasa Dini ni Dini na Siasa ni Siasa Viongozi wa dini wakae Misikitini au Makanisani Wafundishe watu mambo ya Dini sio kujishughulisha na mambo ya Siasa iko siku hapo kwetu kutatokea vita vya wenyewe kwa wenyewe kutokana na Dini kuingiza na Siasa Asanteni.
Hakika yote yanayotokea chanzo ni mbegu alizopanda Nyerere wakati wa uongozi wake. Unajuwa yeye alikuwa haambiliki na kwa kutumia rungu hilo alieneza UKATOLIKI nchini na sasa ndio mambo hayo.
Wakatoliki wana midimo mikubwa kuikemea Serikali .