Hivi wairaq wapoje kitabia?

Status
Not open for further replies.
Upo sahihi ako, naas
 
Usinikunbushe, Mary ulipo jua ulisababisha nikataka kujiua sababu tu ya penzi lako. Sina hamu na wairaq ni sawa na mchwa, wanakutafuna ndani ila nje uko fresh
 
Uwe tayari kugongewa na kila mtu maana hawana roho mbaya na mbunye zao
 
Mkuu hebu weka picha yake maana hata Mimi ninae demu pande hizo nae yupo kama unavyosema,hawaeleweki hiyo jamii huruma nyingi.
Mimi wa kwangu yupo Moro kibiashara
 
Usinikunbushe, mary ulipo jua ulisababisha nikataka kujiua sababu tu ya penzi lako. Sina ham na wairaq ni sawa na mchwa, wanakutafuna ndani ila nje uko fresh
Pole sana mkuu, ndio maana nikaja huku kuulizwa nisije uziwa mbuzi kwenye gunia
 
Oa kwenu acha umama....

Unaona kabisa people of your kind do not qualify to be your lifetime partner?

Mpaka umefikia kuulizia dunia hivi, it means kuna unknown suspicion unayo kuhusu huyo dada!

Oa watu unaowajua!
 
Noma sana ila Wana fake love sana,ukiwa nae unaweza kusema upo pekeyako kumbe ni zamu yako tu
Humu huwezi jua, kuna vitoto kuna wahuni kuna baharia...sasa hapo unategemea upate ushauri kweli.... na ukumbuke kila mtu ana opinions zake.....na inaonekana wewe ni rahisi sana kushawishika na mtu wa hivyo ina maana hajitambui au hajiamini wala hauna msimamo... na mwanaume hatakiwi kuwa hivyo sasa wewe huyo mke utaweza kumuongoza na kuongoza familia kweli....kama hujiamini huwezi acha sio umchafue binti wa watu.....unatafuta tatizo wakati tatizo ni wewe..... what the hell!! man?...
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…