truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 337
ni ukweli usiopunguka kuwa wakenya ndio wanaoongea kiswahili fasaha na ndio wanaoitendea haki sarufi. lafudhi yao ndio kivutio kikubwa kwa wamagharibi japo sio nzuri ila ni orijino
hapw kwetu ZnZ wanajitwhidi
kwa hapa
Wakenya? Labda wa maeneo ya pwani, ila si Nairobi na kwingineko. Ukitoa Kiswahili cha mwambao wa kenya, maeneo mengine kama wataongea kiswahili bila kuchanganya, basi wataongea Kiswahili ambacho ni Kiingereza kilichotafsiriwa neno kwa neno kwenda kiswahili. Matokeo yake kwetu sisi na hata kwa wakenya wa pwani tafsiri hii huleta maana zisizo eleweka eleweka. Kwa mfano: mkenya wa Nairobi na maeneo yasiyo ya pwani anaweza kusema, huyu dada ni wa ajabu sana akimaanisha, this lady is wonderful. Kwetu sisi ni vitu tofauti.