Hivi wadada mnachumbiwaje wenzangu?

Hivi wadada mnachumbiwaje wenzangu?

Tunakuwa tunajiuliza saaaana maaana mmedanga sana tusije tukafika nyumbani kumbe na baba mzazi ashawahi kuzama chunvini!lazima tuwe na tahadhari.
 
You are too selective, that's why unapitia hayo, create your own world pata kijana Wa kawaida anza naye maisha achana na hawa gentlemen Wa mjini
 
90% ya wanawake bongo wanagongwa na wanaume 40% ( waliooa, wenye pesa, vyeo , handsome) unakuta jamaa m1 ameoa na ana michepuka 6 au zaid.
Vijana wengi wasio na uwezo kipesa na weny sura ngumu wanalalama kwamba wanakosa wadada wa kuoa na wakati huo numbers zinasoma wanawake ni weng kuliko wanaume. Unaweza kujiuliza Je, hao wanawake ambao wana umri wa kuolewa na hawajaolewa wanagegedwa na nani?
Wadada punguzeni kubagua mngali wabinti , mtachezewa sana na kuzalishwa sana na waume za watu.
 
Kosa kubwa ambalo wadada wanalikosea, wanadhan wakitoa papuchi deile ndo mwanamme atakuuliza kwenu!!
Wanaume tunapenda kugegeda so wengi huja kwa kugegeda na akiongea na wew anaona una ndoto za kuolewa anakudanyanya kwa ndoa umpe papa.
Kiujumla jaribu kukaza kutoa hiyo papuna utawakimbiza weng na weny nia ya kuoa watakuja.
Pia usibague saana
Mtengeneze wa kwako akutengeneze
From 0 to 100
 
muda wako utafika... Tena utaolewa na ambae hata hujawahi kumtarajia kama mimi nilivyooa niliyedhani ni mchepuko halafu njia kuu ikapigwa chini (ambae ndiye nilimtambulisha kwa ndugu zangu na marafiki zangu)
 
Usitoe papuchi kama chambo cha kumnasa mwanaume akuoe.Bana, wee mwenyewe utaona,wasio waoaji watakimbia
 
Miss Natafuta maisha haya hayana formulae !utampata tu mume wa ndoa !ukome kbs kufikiria viben ten !utakufa siku si zako ! mie sikuwah kufikiria kbs kuolewa !lakini niliolewa !so na ww utampata popote pale !kulala lodge mbona easy tu ! ila ndo usimzoeshe weee !na usimpeleke kwako kila anapotaka ! atakuzoea
 
Relationship freedom life drive motives... Communications+Sex+Money(Financial freedom)....so besty hayo matatu huwez kuyatenganisha kamwe kama unataka maisha yako ya mahusiano yawe murwa.. Kikikosekana kimojawapo basi lazima shida iwepo.
 
90% ya wanawake bongo wanagongwa na wanaume 40% ( waliooa, wenye pesa, vyeo , handsome) unakuta jamaa m1 ameoa na ana michepuka 6 au zaid.
Vijana wengi wasio na uwezo kipesa na weny sura ngumu wanalalama kwamba wanakosa wadada wa kuoa na wakati huo numbers zinasoma wanawake ni weng kuliko wanaume. Unaweza kujiuliza Je, hao wanawake ambao wana umri wa kuolewa na hawajaolewa wanagegedwa na nani?
Wadada punguzeni kubagua mngali wabinti , mtachezewa sana na kuzalishwa sana na waume za watu.
 
ila viuchebe vizuri vinaringa. viuchebeuchebe vitakuganda balaaa
Mwanaume anasema anataka kukuoa ila sasa hata hakuulizii wazazi wako? Wala kujua kwenu ni ratiba tu za kugegedana, lini tunagegedana, lini utanipa blah blah uchumba upo hivi jamani? Sijui kama nitaolewa tena wacha nizae zangu, naona mume wangu labda hakuumbwa Mungu alimruka.

Umri huu naendaje short time guest house mimi? Kuweni na utu jamani
au nimtafute Uchebe wangu kama Shilole? Ila awe modified uchebe sio uchebe yule aisee! Ila shilole aisee nimemvulia nguo lakini namuelewa sana.

Wanaume watu wazima wapo very complicated bora hivi vitoto havijachakachuliwa na maisha vitoto ni vitakatifu havijui hata dhambi yani vitakuumizaje kwa mfano?
nina uwez wa kukusaidia nip namba zko nin 26 yrs
 
Nyinyi mnafikiri kuamua kuishi na mtu milele mpaka kifo kiwatenganishe ni rahisi?
Na kugawana mali na mtu husika ikiwa mmoja wenu akaona hawezi tena kuemdelea kuishi na mwenzie...
 
Miss Natafuta, kama ni kweli pole. Ila nikutie moyo tu kuwa mume wako aliumbwa. Why? kwa sababu wewe ulitolewa kwenye ubavu wake. Yaani aliumbwa kwanza yeye ndipo kutoka kwake ukaumbwa wewe. Yupo, pengine na yeye anakutafuta. Ila hamkutanishwi kwa sababu mnatafutana kwenye wrong ways. Pole sana. Omba sana. Yupo aisee. Ukiwa serious, utamuona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom