Hivi wadada mnachumbiwaje wenzangu?

Hivi wadada mnachumbiwaje wenzangu?

Nyinyi mnafikiri kuamua kuishi na mtu milele mpaka kifo kiwatenganishe ni rahisi?
Sio kitu kirahisi kabisa.
Na wanazuga sana hawa kabla ya ndoa
Ukishaoa wanageuka kuwa nyoka. Jinga sana hawa baadhibyao
 
mwanaume anasema anataka kukuoa .ila sasa hata hakuulizii wazazi wako? wala kujua kwenu .ni ratiba tu za kugegedana ,lini tunagegedana ,lini utanipa blah blah .uchumba upo hivi jamani? sijui kama nitaolewa tena wacha nizae zangu bna naona mume wangu labda hakuumbwa mungu alimruka.umri huu naendaje short time guest house mimi? kuweni na utu jamani
au nimtafute uchebe wangu kama shilole? ila awe modified uchebe sio uchebe yule aisee ! ila shilole aisee nimemvulia nguo.lakini namuelewa sana .wanaume watu wazima wapo very complicated bora hivi vitoto havijachakachuliwa na maisha vitoto ni vitakatifu havijui hata dhambi yaaani.vitakuumizaje kwa mfano?
kosa ni kuwapa papa lako kwanza kabla ya kukuoa.
 
Kuna harufu ya kona humu, a.k.a idiot/cheap wasted sperm
 
kipindi mkiwa below 28 mnaringa kweli mkifika 30 mnaanza tafuta mume huku Sisi tushachukuwa under 28 nyie wazee tunakuja pima oil tu
 
Ukiona mwanaume haamui ujue kuna vitu kutoka kwako vinamkwamisha kutoa maamuzi.

Uamuzi wa kuoa ni msukumo wa hiari toka kwenye uvungu wa moyo pindi nafsi itakavyokuwa imejiridhisha kikamilifu.

Na hususani moyo utapokuwa umebalance kati ya mazuri yako na mapungufu yako.
Nje na hapo atakuridhisha kwa kufunga ndoa in temporary terms.
Halafu epukeni kusema ntakusapoti kwenye ndoa hata kulipa mahari, kwa mwanaume kama mimi ntahisi there is something wrong!
Pia,nakuomba vuta subira hakuna kikomo cha umri wa kuolewa, wapo waliowahi kuolewa wameishiwa kuitwa single mom na wapo waliochelewa wameendelea kupeta kwenye mikono salama ya wanaume.

Kingine usipende kuweka wazi matarajio yako katika maisha, wengine mna overdream mpaka mwanaume wanawaogopa. Wakati maisha ya wanaume wengi wanaohaso ni ya kawaida sana, wanaona bora waishie kumega tu wakapumzike kwa amani kwenye room zao.

Binafsi sijaoa na nimejaribu kujipambanua, nikimpata anaejua mbivu na mbichi za maisha tutayajenga. Kila la kheri
 
Hakuna mwanaume anaweza jukuambia kuhusu ndoa kma anapata anachotaka,usipo push atakurarua hyo papuchi mpaka ianze tiririsha maji,ye anakula tu
 
Ukiona mwanaume haamui ujue kuna vitu kutoka kwako vinamkwamisha kutoa maamuzi.

Uamuzi wa kuoa ni msukumo wa hiari toka kwenye uvungu wa moyo pindi nafsi itakavyokuwa imejiridhisha kikamilifu.

Na hususani moyo utapokuwa umebalance kati ya mazuri yako na mapungufu yako.
Nje na hapo atakuridhisha kwa kufunga ndoa in temporary terms.
Halafu epukeni kusema ntakusapoti kwenye ndoa hata kulipa mahari, kwa mwanaume kama mimi ntahisi there is something wrong!
Pia,nakuomba vuta subira hakuna kikomo cha umri wa kuolewa, wapo waliowahi kuolewa wameishiwa kuitwa single mom na wapo waliochelewa wameendelea kupeta kwenye mikono salama ya wanaume.

Kingine usipende kuweka wazi matarajio yako katika maisha, wengine mna overdream mpaka mwanaume wanawaogopa. Wakati maisha ya wanaume wengi wanaohaso ni ya kawaida sana, wanaona bora waishie kumega tu wakapumzike kwa amani kwenye room zao.

Binafsi sijaoa na nimejaribu kujipambanua, nikimpaka anaejua mbivu na mbichi za maisha tutayajenga. Kila la kheri
kwa hilo jina lako mmmh
 
Ukiona umeishi na mwanaume kwa kipindi fulani na huoni kama anaonesha nia ya kupajua kwenu na kuingia kwenye hatua inayofata fahamu kuwa kunatabia unazionesha ambazo zinamvunja moyo hivyo anajipa muda kutafakari na kuona kama utabadilika.
Jipe muda jichunguze na tafakari njia zako kama wewe sio kikwazo katka hilo. Unaweza wewe ukawa ndio mkwamishaji wa maendeleo ya mahusiano yenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom