Hivi wadada mnachumbiwaje wenzangu?

Hivi wadada mnachumbiwaje wenzangu?

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,028
Reaction score
52,505
Mwanaume anasema anataka kukuoa ila sasa hata hakuulizii wazazi wako? Wala kujua kwenu ni ratiba tu za kugegedana, lini tunagegedana, lini utanipa blah blah uchumba upo hivi jamani? Sijui kama nitaolewa tena wacha nizae zangu, naona mume wangu labda hakuumbwa Mungu alimruka.

Umri huu naendaje short time guest house mimi? Kuweni na utu jamani au nimtafute Uchebe wangu kama Shilole? Ila awe modified uchebe sio uchebe yule aisee! Ila shilole aisee nimemvulia nguo lakini namuelewa sana.

Wanaume watu wazima wapo very complicated bora hivi vitoto havijachakachuliwa na maisha vitoto ni vitakatifu havijui hata dhambi yani vitakuumizaje kwa mfano?
 
Usiangaike sana mama chagua vile moyo unataka!

Ila usitupe lawama kwa wanaume hata wanawake wako hivo kuna mwenzenu kanitenda balaa !!

Karibu tusaidiane kuyajenga !!!
 
Yan hawa watu kama hawajakupenda utajua tu.Ila muhimu ni kulazimisha,mkumbushe lini ataenda home au kukupeleka ....mara nyingiiii...so kama mdanganyifu atakimbia mwenyewe
 
Usiangaike sana mama chagua vile moyo unataka!

Ila usitupe lawama kwa wanaume hata wanawake wako hivo kuna mwenzenu kanitenda balaa !!

Karibu tusaidiane kuyajenga !!!
pole mkuu ila tupambane tu na hali zetu
 
Yan hawa watu kama hawajakupenda utajua tu.Ila muhimu ni kulazimisha,mkumbushe lini ataenda home au kukupeleka ....mara nyingiiii...so kama mdanganyifu atakimbia mwenyewe
wewe ulilazimisha?
 
Nikupatie mdogo wangu yuko 22 now and he is very bright
 
Pole sana. Tatizo anapata anachotaka sasa haoni umuhimu wa ndoa. Hebu jaribu kumnyima Mara kadhaa uone ILA uwe upo vizuri kiasi haoni mwingine zaidi Yako. Lakini kama ni wakutafuta sababu ataona advantage. Kikubwa we komaa naye ataelewa tu.
 
Haka kakitabu kadogo kana maelezo mazuri sana juu ya swali lako dada, katafute haka kakitabu s-l500.jpg
 
Nani amipileke ukweni? Wanawake wa sku hz unampeleka nyumbn kumtambulisha kwa wazazi, mkibisha hodi tu akisikia saut ya baba mkwe ashaloa huko kibiti.
 
Mimi naona ingekuwa pande zote mbili kwani hata nyie hamjawahi kuuliza wazazi wake ni kina nani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom