Hivi viwanda kweli vitajengwa?

Hivi viwanda kweli vitajengwa?

Viwanda vinajengwa na wananchi au wawekezaji. Serikali kazi yake ni kulegeza sheria zisaidie hilo suala, Basi.

Ni kweli si viwanga tu uchumi wowote hujengwa na wananchi na kidogo wawekezaji hasa wa ndaji maana wa nje napo ni kujidaganya, laki hoja hapa je umma unauwezo kuwa na mitaji toshelezi kushiriki kujenga viwanda?ba je kuna uwezeshwaji yoahelezi ki mitahi kuanzisha viwanda?kama majibu no hovyo bado hata kama kutakuwa na sheria nzuri namna gani viwanda hakuna
 
Kwani bingwa wa kushangaa ameshamaliza kushangaa....?? Alisema anashangaa viwanda vimekufa atavifufua vyote kwa technolojia ile ile ya zamani hasa viwanda vya nguo viatu etc viwanda vyote atavifufua na kuvirud serikalini!! Sasa mara story imekuwa mazingira!!! Kwani ameambiwa hakuna mazingira mazuri!!! Yeye ndio amevuruga hayo mazingira
 
Viwanda vitajengwa usihofu ila nilimsikia siku moja Waziri wa viwanda ....akizungumzia hivyo viwanda, kwa jinsi alivyokuwa anazungumza nikaona serikali itavuka malengo maana hata mashine za kusaga unga zile za mtaani, ukiwa carpenter kikubwa uwe na mashine vyote hivyo ni viwanda....yaani karakana zote zimekuwa defined as viwanda
 
Waziri wa viwanda anasema kazi ya serikali siyo kujenga viwanda ni kuweka mazingira mazuri watu waje kujenga viwanda.

je wasipokuja kujenga hivyo viwanda hata kama mazingira yatakuwa mazuri serikali itawandanganya nini tena watu wake ifikapo 2020?

View attachment 468907
Mkuu ulishawahi kusikia tena ile kauli ya dikteta magufuri akisema "haiwezekani haiwezekani" sasa haipo mambo yashashindikana Viwanda hamna tena naye anapiga hela tu mtajua baadaye
 
Viwanda vitajengwa usihofu ila nilimsikia siku moja Waziri wa viwanda ....akizungumzia hivyo viwanda, kwa jinsi alivyokuwa anazungumza nikaona serikali itavuka malengo maana hata mashine za kusaga unga zile za mtaani, ukiwa carpenter kikubwa uwe na mashine vyote hivyo ni viwanda....yaani karakana zote zimekuwa defined as viwanda

Mbona mkuu vimeshaanza kuzinduliwa! azam ameshajenga! viwanda vinakuja taratibu tuwe wavumilivu!
 
Nchi huweka sera kisha wawekezaji hujenga. Mashaka yangu ni kuwa huenda sera hii ikiwa tenzi za rohoni lkn akilini tukiimba nyimbo za ukombozi dhidi ya IDD amini
 
Back
Top Bottom