Hivi vipele gani vinanitokea kwenye mikono

Jayfee

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
310
1,040
Wakuu habari!

Kuna aina ya uvimbe mdogo mdogo kama vipele vinanitokea kwenye mikono, naombeni msaada kwa Dr mwenye ufahamu navyo kuhusu vinasababishwa na nn na ni nini tiba yake

IMG_20200918_093307.jpg
IMG_20200918_093156.jpg
 
Back
Top Bottom