Hivi ving'amuzi vya continetal wanatoa free channel ngapi wadau?

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
549
557
Hawa jamaa nasikiaga vingamuzi vyao haulipi na wana free channel karibia 20 hivi Watumiaji wa hivi vitu mtupe muongozo

wasaalam
 
Achana na hicho Kama ni mpenzi wa Mpira nunua Azam tu ufurahie Ligi kuu ya Tanzanzania tu, ila kiutamaduni wana Ulalio mmoja tu.
Possibly wanabebwa na TPL tu.
 
Channel zinazoonyesha bure ni star TV Na TBC
Ukitabahatisha unaweza kumpata zoazoa Na family TV

Nina mpango WA kuwashitaki
 
Back
Top Bottom