Hivi vidole.....

Hii kali mkuu,yaani watu wamechoka sasa ha ha ha ha ha ah!!!
 
Chadema sijui walifikilia nini kubuni alama hii maana kwa sasa ni dunia nzima ni V tu..tunge tumia ile alama ya ngumi ingekula kwetu hahahahahahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…