rastar mjeshi
Senior Member
- Aug 15, 2023
- 193
- 257
[emoji51][emoji51] si mlisema ndevu nyingi ni uchafu leo mnadiitati tena na six + hela pia ukiwa ndevu hela lazima [emoji3061]🦥Uchafu wa ndevu unakuja pale ukiwa na matunzo mabovu,,.Mirefuuuu,rangi haileweki,ukila chakula vipande vinadondokea shabashhhhh ...Binafsi napenda mkaka atunze ndevu zake akinyoa kidevu kupata sipendi kabisa