Hivi videvu vya siku hizi

Hivi videvu vya siku hizi

eeh zote kbs yan... bana hazina faida... Kuna ile mnasemaga... "muone na mindevu yake kama stiriwaya"
Jamani...usitoe zote bwana hizo zina kazi yake maalum [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kuna solution:

articificial-beard-gang-1.jpg
 
Muwe mna vi prone basi...visichachamae sana vinatutisha mnakuwa kama Alshabaab au Boko Haram..

Hongera zenu mnaojua kuvisawazisha vizuri halafu vinywele viwe na texture ngumu hakika mnaupiga mwingi...

Ushimen shemeji wewe nakukodia trekta pale Kubota waje wazikate🤣🤣

View attachment 2748516
Sasa mbona mnatuchanganya mara tutafute hela mara tuwe na ndevu mara tuwe na gari😢😢😢😢 tushike lipi sasa
 
Back
Top Bottom