mtotopendwa
Member
- Feb 23, 2012
- 98
- 63
Waliosoma Jitegemee(Jiteute) enzi za Massawe watakumbuka jinsi vibwengo vilivyokuwa vinasumbua baadhi ya watu.
Kuna jamaa mmoja alikuwa hawezi lala mwenyewe lazima aombe mtu alale nae coz alikuwa anasumbuliwa sna na hv vibwana.
Kwenda chooni mwenyewe usiku mbinde lazima uombe kusindizwa.
Tisa kumi kuna njemba moja ilikuwa baunsa imepanda hewani halafu ni mbavu nene kishenzi.Alikuwa akisema/kukutuma kitu lazima uache mambo yko utekeleze anachokuagiza.Siku moja aliamka kama saa tisa usiku kwenda class kupiga msuli.Akapitia kwanza bombani anawe uso kuondoa wenge la usingizi.Alipoanza kuinama ili afungue maji alipigwa bonge la kelbu ya mgongoni,akasimama wima ila hakuona kitu;wkt anatafakari alistukia bonge la kelbu kisogoni;hapo ndo mbio kama za Usain bolt zilipoanza tukastukia mlango wa bweni upo chini huku njemba ikipiga mayowe kama kafukuzwa na simba.
Mwingine alistuka usingizini akaona kibwengo kimelala pembeni yke;akarusha ngumi ikatua ukutani.Hakuweza kufanya shughuli yoyote kwa mwezi mzima kwa maumivu aliyoyapata.
Hahahahahh' dah mwana hyo stori ya njemba imenifanya nicheke hadi michoz imentoka' boading kulikua na vituko sana' jamaa alichezea kelbu za kutosha tuu
Hahah
Niliwahi kusikia wanafunzi huko masekondari zamani walikuwa wanaonaga wanyama flani kama binaadamu kama mashetani sasa naomba mwnye kuwafahamu au mwenye picha ya hao vibwengu aitupie eti hata wengine walipo lala walikabwa usingizi na hao vibwengu je hii ni myth au ni jambo la kweli
Kaka nakutumia fishi kudadadeki Nipe adress
Hakuna kitu kama iko..ila watu watakulazimisha wapo..ni kama hadithi za abunuwasi..hakuna vibwengo uchawi au mizimu..ila umaskini wetu na ulimbukeni tumeshupalia hayo mambo..
Waliosoma Jitegemee(Jiteute) enzi za Massawe watakumbuka jinsi vibwengo vilivyokuwa vinasumbua baadhi ya watu.
Kuna jamaa mmoja alikuwa hawezi lala mwenyewe lazima aombe mtu alale nae coz alikuwa anasumbuliwa sna na hv vibwana.
Kwenda chooni mwenyewe usiku mbinde lazima uombe kusindizwa.
Tisa kumi kuna njemba moja ilikuwa baunsa imepanda hewani halafu ni mbavu nene kishenzi.Alikuwa akisema/kukutuma kitu lazima uache mambo yko utekeleze anachokuagiza.Siku moja aliamka kama saa tisa usiku kwenda class kupiga msuli.Akapitia kwanza bombani anawe uso kuondoa wenge la usingizi.Alipoanza kuinama ili afungue maji alipigwa bonge la kelbu ya mgongoni,akasimama wima ila hakuona kitu;wkt anatafakari alistukia bonge la kelbu kisogoni;hapo ndo mbio kama za Usain bolt zilipoanza tukastukia mlango wa bweni upo chini huku njemba ikipiga mayowe kama kafukuzwa na simba.
Mwingine alistuka usingizini akaona kibwengo kimelala pembeni yke;akarusha ngumi ikatua ukutani.
dah nimecheka hd basi.
Kwani vina nini mpaka nishindwe kupambana navyo?ukitaka kuviona hivyo Vibwengo nenda usiku wa manane Kandoni kandoni mwa baharini kila ikifika usiku wa saa 8 au saa 9 usiku huwezi kufikisha siku 14 bila ya kuwaona na je ukiwaona utaweza kupambana nao? Swali gumu kujibika kazi kwako Utajibeba.
Niliwahi kusikia wanafunzi huko masekondari zamani walikuwa wanaonaga wanyama flani kama binaadamu kama mashetani sasa naomba mwnye kuwafahamu au mwenye picha ya hao vibwengu aitupie eti hata wengine walipo lala walikabwa usingizi na hao vibwengu je hii ni myth au ni jambo la kweli
Una vijuwa wewe Vibwengo?ni viumbe gani?Kwani vina nini mpaka nishindwe kupambana navyo?
Kibwengo na Popobawa ni mtu na kaka/ake wote watoto wa mashetani
Ntavijulia wapi mimi mkuu? Ila kama naweza kupambana na simba ntashindwa kukabiliana na vibwengo?Una vijuwa wewe Vibwengo?ni viumbe gani?
Hata milambo sec wanasema vipo vingi pale ila tabora boys na umoja sec shwari tu[/QUOTE
Acha zako ulamboni hakuna vitu kama hivyo may be uboyzia huko porini!!
Vibwengo (Elves)
An elf is a type of supernatural being, prominently featuring in traditional British and Scandinavian folklore. They usually have magical powers and are capricious and mischievous in human affairs. The word ?elves? is sometimes used as a general term for fairies.