Hivi viazi vinaitwaje?

Itatokea viazi tu, na ndio maana ukatumia neno viazi na watu wakakuelewa... VIAZI
 
Kiswahili viaitwa viazi vikuu au kiazi kikuu
Acha uongo! Viazi vikuu vinachimbwa chini, lakini hivi vimamaya vinatolea Viazi vyake kwenye majani.

Lakini Viazi vikuu na hivi vimamaya majani yake huwa yanakaribia kufanana kabisa tatizo ni kuwa majani ya Viazi vikuu ni magumu na makambakamba yake yana miiba
 
Kwa nini unasema uongo?, au umezoea jina lako la kichaga?
 
Scientific name yake ni Alberto delrio, chimbuko Lake ni hispania
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…