Hivi viazi vinaitwaje?

Wewe unatafuta jina ama mwalimu wa somo la kiswahili?
Kama unadhani hilo ni jina lake(hata kama silifahamu) peleka kwanza bakita.
Mwenzio kasema mamaya: wewe unalazimisha nduu. Now which is which!!!!
 
Kiswahili ni Ndunyasa...,
English air yam or air potato
Scientific name ni Dioscorea bulbifera
Asante sana Mkuu. Nimekuwa nikihangaika sana kujua jina la hvyo vijamaa kwa muda mrefu bila mafanikio.
Humu tunajifunza lkn anatokea ki..laz.a mmoja wa kichaga aropoka ropoka tu bila majibu na huku viazi hivyo vimejaa uchagani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…