chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,727
Kipindi cha mwaka 2011 tasnia ya bongo movie hawa majamaa wawili Ray na Kanumba waliweza kuleta mapinduzi makubwa sana na kama Kanumba angekuwepo basi tungekuwa mbali sana.
Waswahili wanasema bila ugali bila mboga basi sio chakula kitakuwa majina tofauti.
Ray miaka ile kabla mambo mengi watu wengi walikuwa wakitegemea sana magazeti yaliyojizolea umaarufu kama Ijumaa, Wikiendi, Uwazi, Amani n.k
Kuna kipindi mpaka alishawahi kuhojiwa kuna pesa anazo na mpaka kumiliki gari ya v8 kipindi hiko 2011.