Balozi Chriss
Senior Member
- Jan 21, 2011
- 153
- 16
Embu orodhesha hao watoto wa vigogo UVCCM kwanza...#1.Wanaongea bila mpangilio
#2.Hawajui kwanini wao ni watanzania
#3.Wamekuwa mawakili wazuri wa maovu ya babazao
#4.Wamejipa hadhi ya kifalme ktk nchi hii.
WanaJF hivi hii academy ina walimu kweli wenye akili timamu?
Ndio. Atoe facts na sio feelings zake.Embu orodhesha hao watoto wa vigogo UVCCM kwanza...
UVCCM ni umoja wa vijana hata kama wewe ni kijana basi na wewe ni mwanachama UVCCM japo hujijui, maana UVCCM inatetea na kurinda haki za vijana bila kujali rangi, kabila wala vyama vyao, hii ni tofauti na BAVICHO ambayo iko kwa masilahi ya kutetea uovu wa viongozi wao na matumbo yao huku ikiwaacha vijana bila mtetezi na imebase kikanda sana.#1.Wanaongea bila mpangilio
#2.Hawajui kwanini wao ni watanzania
#3.Wamekuwa mawakili wazuri wa maovu ya babazao
#4.Wamejipa hadhi ya kifalme ktk nchi hii.
WanaJF hivi hii academy ina walimu kweli wenye akili timamu?
Embu orodhesha hao watoto wa vigogo UVCCM kwanza...
HATARI!
Angalia, watoto wa vigogo waliopita UVCCM Ngazi ya taifa.
1. DICKSON MEMBE
2. FREDY LOWASA
3. RIDHIWANI KIKWETE
4. ASHURA HUSSEIN MWINYI
5. BEN SAMWEL SITTA
6. DEBORA MWANDOSYA
7. IRENE PINDA
8. FELISTER NDUGAI
9. CHRISTOPHER NDEJEMBI
10. SHARIFA BILAL
11. HAWA KIGODA
12. JUDITH MUKAMA
13. JALOME MSEKWA
n.k
Hawa hapa...
Kwa hisani ya >>>>https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/335490-watoto-wa-vigogo-waiteka-uvccm.html#post4783383
UVCCM ni umoja wa vijana hata kama wewe ni kijana basi na wewe ni mwanachama UVCCM japo hujijui, maana UVCCM inatetea na kurinda haki za vijana bila kujali rangi, kabila wala vyama vyao, hii ni tofauti na BAVICHO ambayo iko kwa masilahi ya kutetea uovu wa viongozi wao na matumbo yao huku ikiwaacha vijana bila mtetezi na imebase kikanda sana.
Tatizo la buku 7 ni moja tu...hawana kumbukumbuHawa hapa...
Kwa hisani ya >>>>https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/335490-watoto-wa-vigogo-waiteka-uvccm.html#post4783383
#1.Wanaongea bila mpangilio
#2.Hawajui kwanini wao ni watanzania
#3.Wamekuwa mawakili wazuri wa maovu ya babazao
#4.Wamejipa hadhi ya kifalme ktk nchi hii.
WanaJF hivi hii academy ina walimu kweli wenye akili timamu?