Hivi UVCCM ni academy ya watoto wa vigogo na mafisadi wa hii nchi?

Balozi Chriss

Senior Member
Jan 21, 2011
154
0
#1.Wanaongea bila mpangilio
#2.Hawajui kwanini wao ni watanzania
#3.Wamekuwa mawakili wazuri wa maovu ya babazao
#4.Wamejipa hadhi ya kifalme ktk nchi hii.
WanaJF hivi hii academy ina walimu kweli wenye akili timamu?
 
Dumbuya

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
558
1,000
#1.Wanaongea bila mpangilio
#2.Hawajui kwanini wao ni watanzania
#3.Wamekuwa mawakili wazuri wa maovu ya babazao
#4.Wamejipa hadhi ya kifalme ktk nchi hii.
WanaJF hivi hii academy ina walimu kweli wenye akili timamu?
Embu orodhesha hao watoto wa vigogo UVCCM kwanza...
 
GOOGLE

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
1,862
2,000
#1.Wanaongea bila mpangilio
#2.Hawajui kwanini wao ni watanzania
#3.Wamekuwa mawakili wazuri wa maovu ya babazao
#4.Wamejipa hadhi ya kifalme ktk nchi hii.
WanaJF hivi hii academy ina walimu kweli wenye akili timamu?
UVCCM ni umoja wa vijana hata kama wewe ni kijana basi na wewe ni mwanachama UVCCM japo hujijui, maana UVCCM inatetea na kurinda haki za vijana bila kujali rangi, kabila wala vyama vyao, hii ni tofauti na BAVICHO ambayo iko kwa masilahi ya kutetea uovu wa viongozi wao na matumbo yao huku ikiwaacha vijana bila mtetezi na imebase kikanda sana.
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
17,419
2,000
Embu orodhesha hao watoto wa vigogo UVCCM kwanza...

Hawa hapa...

HATARI!

Angalia, watoto wa vigogo waliopita UVCCM Ngazi ya taifa.

1. DICKSON MEMBE
2. FREDY LOWASA
3. RIDHIWANI KIKWETE
4. ASHURA HUSSEIN MWINYI
5. BEN SAMWEL SITTA
6. DEBORA MWANDOSYA
7. IRENE PINDA
8. FELISTER NDUGAI
9. CHRISTOPHER NDEJEMBI
10. SHARIFA BILAL
11. HAWA KIGODA
12. JUDITH MUKAMA
13. JALOME MSEKWA
n.k

Kwa hisani ya >>>>https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/335490-watoto-wa-vigogo-waiteka-uvccm.html#post4783383
 
uru classic

Senior Member
Aug 25, 2013
120
170
UVCCM ni umoja wa vijana hata kama wewe ni kijana basi na wewe ni mwanachama UVCCM japo hujijui, maana UVCCM inatetea na kurinda haki za vijana bila kujali rangi, kabila wala vyama vyao, hii ni tofauti na BAVICHO ambayo iko kwa masilahi ya kutetea uovu wa viongozi wao na matumbo yao huku ikiwaacha vijana bila mtetezi na imebase kikanda sana.

unapofika hapo unanikera KIKANDA ZAIDI.wewe haufkir vzur kwann huo ukanda unawapinzani zaid?
 
mwanamakambako

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
782
0
Pigia mstari, huo ndio ukweli, hata ukiwaangali hao watoto wenyewe, wamebweteka, wamelaza akili, sababu hawajui shida, wamekulia katika raha.
 
Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
8,403
2,000
#1.Wanaongea bila mpangilio
#2.Hawajui kwanini wao ni watanzania
#3.Wamekuwa mawakili wazuri wa maovu ya babazao
#4.Wamejipa hadhi ya kifalme ktk nchi hii.
WanaJF hivi hii academy ina walimu kweli wenye akili timamu?

Siku hizi imegeuka na kuwa academy ya wauza unga na pembe za ndovu...

Mfano yule mtoto wa mzee aliyeingia bunge la katiba, yupo yule mtoto wa kigogo aliyekamatwa na madawa china na kututumbukiza kwenye mikataba 17. Wako wale watoto wa mzee wa kupuyanga alitamka hadharani wanauza unga lakini hakuna wa kuwagusa. Orodha ni ndefu kwa kweli. UVCCM ni janga la kidunia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom