Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
Women's day na wewe wapi na wapi!? Yeah niliinjoy mkuu.
nilikuwa nawapa kampani women waliobest zangu so i was kinda busy.
Women's day na wewe wapi na wapi!? Yeah niliinjoy mkuu.
hahahaaaaaaaaaaaaaa kwanini asichukue kichwani kaamua kuanza na kiuno kwenda chini
nimecheka jamani hahahaaaaaaa,
hahaa bazazi at work hujui kuwa Excel ni penda penda hata miss neddy analijua hili.........
Uli enjoy na nini womens day!!
miss neddy nataka maelezo! una nini hasa kinachoendelea na huyu mzaramo? sijui mndengereko? aargh!!so miss neddy amekubali Excel awe ana chepuka??
miss neddy nataka maelezo! una nini hasa kinachoendelea na huyu mzaramo? sijui mndengereko? aargh!!
kwanini anakutaja taja kila wakati?
mimi kukupa uhuru naona wanakutumia kama BURE pack eenh?
so miss neddy amekubali Excel awe ana chepuka??
hahahahahahaha Excel bwana mi nitajuaje sasa aulizwe mwenyewe huyo Mndengereko
so miss neddy amekubali Excel awe ana chepuka??
naona sasa ukaribu na Mndengereko unazidi!! huyu mzee ntamkata kikojoleo muda si mrefu!!
naona anakitumia vibaya kwenye timu rafiki yenu hiyo! hapo naona atakuwa rafiki mwema asiye na madhara!
hahahahahaha we mkate tu if u can me najikalia pembeni staki ushahidi
nakupa jukumu la kukimwagia tindikali! sawa mamii?
ila uishie kukimwagia tu! sio vinginevyo!!!
ahaaaa!! kumbe kuwa karibu nae unaweza, ila kummwagia lita 5 za tindikali kwenye dushelele aache kelele unakataa?
hivi una faida nalo ama?
naona sasa ukaribu na Mndengereko unazidi!! huyu mzee ntamkata kikojoleo muda si mrefu!!
naona anakitumia vibaya kwenye timu rafiki yenu hiyo! hapo naona atakuwa rafiki mwema asiye na madhara!
kwani umesikia teamR wanaonyeshana migegedo jaman huku ni salam tu basiiii
hahahahaha Excel mi nitamuweza wapi jamani kama mlie timing we mwenyewe
no comment
mwambie aache wivu huyo!!!
i will leave it btn the two of you.!