Hivi utakuwa na team ngapi?

Hivi utakuwa na team ngapi?

hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa we baby wa chalinze utanivunja mbavu lol.
ndio maana nakupenda

Tatizo unanipenda kimaandishi, kwenye kujamiiana unaniblock. Yani hapo ndipo napokasirikaga kama Mugabe.
 
hivi ni mimi sielewi maan ya hizi team ama
Hata mimi kwakweli na sijawahi kusikia hizi team zina mechi wekeni mech tuone nani mkali kat ya team bazaz mara team rafiki wengine team uzinz dah balaaa tupu
 
it is either uko baridi au uko moto...it is either uko #teamRafiki au haupo..baasi
Kumiliki kadi mbili mbili
nadhani ni mtindo wa kisasa.

Nadhani ulishawaki sikia mtu mmoja hivi maarufu kule kenya, yeye
anamiliki kadi ya chama cha kaki na kadi ya chama cha kijani na hakuna
anaye muuliza.

Ambao hawako kwenye ndoa wanaweza wakawa marafiki au wapenzi, ni maamuzi
yao tu, ila walioko kwenye ndoa they are limited totaly to marriage
only.
 
Back
Top Bottom