Hivi ushawahi kukutana na hii kitu

Hivi ushawahi kukutana na hii kitu

mwingine juzi kajichanganya kama alivyokuwa akiimba mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23].

kaombwa udhuru wa kupungukiwa nauli konda kakaza,anataka hela yake yote 500,jamaa alivyoona haeleweki ikabidi,atoe 10000.konda akakata buku,kuulizwa anasema jamaa msumbufu.

jamaa kumbe ni mwanajeshi kaenda kujiandaa akamsubiri konda trip ya pili akamshika,kumpeleka kambini.
jamaa kaimba sana mixer kuogelea kwenye tope na uniform zake hoii[emoji23][emoji23][emoji23].

huu mji bana,unawezatolewa upepo mpaka ukaanza kuwaza sijui umuue mhusika,sema kuna jera[emoji23].
-------------------------------------

Binafsi nilikuwa nimekaa kijiweni na jamaa kibao,sasa nikapigiwa simu ghafla na jamaa mmoja tulikuwa tumepanga jambo muhimu sana,kwaba nifike sehemu husika haraka sana.

nikanyanyuka nikiwa na kumbukumbu kwamba nina 5000 mfukoni,imefika muda naitishwa nauli search kila mfuko holaaa,geuza mpaka kasha la simu,bila bila.nikaona dah hiki kimbembe.
nikamwambia konda aisee nimedondosha nauli,akaanza shombo kabla sijamaliza,nikamtilia vinegar namimi."mbona unadakia sijamaliza"
utanisubiri kituoni nikatoe kwa wakala nikupe,hapo ndio akakausha[emoji16][emoji16][emoji16].

ila jamani hakikisha pesa unazigawanya kwenye nguo,sio unarundika mfuko mmoja,hii dhahma isikie kwa mwingine tu.
 
Mimi niliibiwa stand ya mbezi msimbazi siku zile, jamaa alipofika mikamwambia nitakupa, tumekaribia mbezi akarudi tena nikamwambia nimeibiwa tukifika mbezi tuongozane nikatoe hela nimpe, akaniambia basi tu na kunipa polee
 
Story yako imenikumbusha zamani sana mwaka 1985 nilienda kumtembelea dingilai mdogo kwake(Ndio nilikuja kujiunga DAR TECH),Da si nikapishana nae lakini lengo ndio ilikuwa anipe nauli ya kurudi home yaani ilikuwa kama 30km hadi Home,ilibidi nitembee kwa mguu.
 
Mimi siku hizi nimekuwa tofauti sana, sijui ndo naelekea ukubwani au la.

Nikirudi home jioni natoa vitu vyote mifukoni, coins, wallet kama ipo maana siku zingine siibebagi, IDs, leseni ya kuwaonesha matrafiki, funguo na pesa naweka juu kwenye dressing table. Asubuhi inanipa urahisi ninapochukua ya chombo changu kunakuwa na vijisent pale navyo naweka mfukoni. Licha ya hivyo kuna siku nishawahi kufika eneo la kazi sina hela ya breakfast sababu sikubeba hela hata mia na nilikuja kugundia nilipotaka kumlipa mama muuzaji canteen.

Anyway, scanerio ya hivyo ishawahi nitokea back in 2016 Mwanza, nimetoka Mecco asubuhi nimevalia kiofisi nimependeza vizuri tu. Tumefika Natta, konda anadai nauli kujisearch sina hata 100. Nikamuambia ukweli tu bwana nimesahau, hakuongea sana, alilalamika kidogo akakausha.

Tulipofika town pale stand nikashuka. Nikamwambia konda we si bado mnaitia abiroa wa Bwiru hapa nakuletea 400/- yako hapa hapa. Hakuamini, driver akamwambia aniache niende kama muaminifu nitarudi. Hapo nilikua nna wanangu wamachinga nimezoeana nao pale makoroboi kwa fundi wangu wa nguo mida ile ningemkuta japo mmoja anitoe jero.

Nikaanza kuondoka. Nafika pale msikitini tu, nadhani ni Rwegasore St, nikakutana na dogo moja namfahamu anafanyia depo ya coca ya pale Tanganyika stand ya zamani nikamwomba anitoe jero. Akanipa nikarudi kumpelekea konda. Konda hakuamini, akasema dah! Umeipata wapi mbona muda mfupi? Nikamwambia mi mtu wa watu nilikua na uhakika nakukuta hapa hapa. Nikastirika na kuondoka.
 
Imenitokea week iliopita.

Nimetoka getting nikaenea stand kupanda daladala niende sehemu flani hivi.

Sasa gari imeondoka tuko katikati ya safari nastuka kuwa nimeacha wallet nyumbani, kwa hiyo nauli sina......

Konda alipofika kwangu nikaona Sina hata namna ya kumuelewesha kwamba Sina nauli, ikabidi niseme tu nimekaa vibaya ntakupa mbele....lakini kiuhalisia nimekaa vizuri tu comfortable.!

Konda akanichangamkia ""umekaa vibaya kivipi wakati ma***ko yote yapo kweny siti na umefungua dirisha unapata kiyoyozi, we broo vipi hebu nipe nauli bhana""

Gari zima wakageuka kuangalia Nani anaeambiwa hivo,,,,nilijiskia Soo kishenzi, lkn nikaona nisipaniki wala nin......nikajiinua kidogo ili nimwambie kwa sauti ya chini sikioni ""kaka bahati mbaya nimesahau nauli nifadhiri ndugu yangu""

Konda akawaka kwa sauti kubwa tofauti na nilioianzisha Mimi...
""""Afu nyie ndo wachawi mnaodharau kazi za watu, Kwanza mi siwezi kuwa na ndugu mshamba kama wew ambae anakumbuka kuvaa vizuri, ananyoa vizuri afu hana hata Mia mfukoni,,,,nyie ndo matapeli hapa mjini""""

Daaah basi gari zima wananiangalia mim....nilijiskia aibu sana...basi yule konda alinipa shombo nyingi sana......!!!!!

Mara ghafla """ Kwanza hebu simama hapo ushike bomba wenye nauli wakae..""" nikawa najivuta kidogo """we m""nge nimesema simama wenye nauli wakae....hii sio gari ya kuhudumia maskini na matapeli""

Wazeee hasira zilizonipanda baada ya kauli hiyo ni Mungu pekee ndo anaejua maana nilijikuta ghafla mwili unaanza kutetemeka na vidole vinaanza kujikunja taratibu kutengeneza umbo la ngumi.

Nikashika bomba huku gari ikiendelea na konda akianza kunitolea shombo mpaka baadhi ya abiria wakaanza kumwambie
""basi konda inatosha msamehe kaka wa watu, bahati mbaya haina mwenyewe mbona unamsema safar nzima"""

Konda """hamna bhna hivi vijamaa ndo vichawi vya biashara yetu, Kwanza usikute humu kaingia kuja kuibia watu,,,Kwanza nakushusha kituo Cha mbele mpumbavu wew.....unaleta dharau na masihara kwnye kazi za watu"""

Daaah basi nikiwa nimeshika bomba pale afu peke yangu gari zima wamekaa wananiangalia mim....akili ikaanza kuniambiaa "mpe ngumi janja""....""mchape moja ya maana amekufedhehesha sana"""

Jamaa alikua kama hatua nne mbele yangu, basi nikajisogeza taratibu ili nianze kuongea nae vizur kwamba kwa nn ameshindwa kunielewa na hata kama kashindwa kwa nin anitolee kauli chafu kiasi kile....
Nilijua tu lazma angejibu shombo na hapo ndo nikapanga kutimiza kile nilichokiskia kichwani kwangu kumrushia mangumi na mateke yasio na idadi.......
Basi nikamfikia nakumuuliza kistaarabu kabisa...
""Oya kaka Sasa hata kama Sina nauli kwa nin ufikie hatua ya kunitolea matusi kiasi hiki mwanangu!??""

Konda akaingia kwnye 18 zangu....."""acha umaku ww Yani nauli hujanipa afu unanipangia Cha kuongea,""""

Ndugu zangu,,,,nilirusha ile ngumi mpaka nikaskia kabisa joint ya bega imelia taaaaaaaaaaaaaahhhh,,,,,,gari zima likawaka kwa makelele na wengine wakisimama kuja kuamulia.....na hapo Sasa ndo nikawa nimejaa upepo kiukweli ukweli Sasa.......huku ubongo ukizidi kuongea na nafsi....""" Muongeze bhana unasubiri nin......ile nataka kumfata nimpe zingine gari ikasimama kwa ghafla basi sikushika popote ikasababisha nianguke...bila kudaka siti zile za pembeni ningetangulia kisogo.....!!!
Dereva akaja nae spidi lakin akaongea kistaarabu kwamba nishuke tu kwny gari,,,,abiria wakachachamaa kwamba konda kayataka yote hayo......Dada mmoja akaamua kutoa elfu tano yake kumpa yule dereva kama nauli yangu na hakuhitaji hata chenji......!!!! Basi baada ya mabishano ya dk kama nne hivi ikabidi dereva akubali...gari ikawashwa huku konda akiwa amekua mmpole kama pilitoni na safari ikaisha vizuri kabisa.......!!!

Nimekumbuka hili baada ya yule Dada alienilipia nauli kunitafuta mda huu kwnye simu tumepiga stori mbili tatu akanikumbusha kizaa zaa hicho huku akiwa anacheka kinoma.....
Kumbe uchungu wa pilitoni ndio upole wa konda? Siwachokozi tena.
 
Mimi wakati nikiwa sekondari nilikua nakula nauli.

Konda akinidai namwambia ntampa nikishuka.

Sasa nikishuka naanza kuingiza mkono kwenye mfuko mmoja baada ya mwingine.

Mara mfuko wa shati, najifanya kama sikumbuki nimeweka mfuko gani.

Narudia tena kuji search mfuko mmoja baad ya mwingine.

Hapo gari ishaanza kuondoka taratibu konda ananisubiri huku akiniharakisha.

Baada ya kuona nimejikita kwenye ku search mfuko baada ya mfuko anakimbilia gari anaondoka, huku akiacha matusi kadhaa nyuma

😂😂 We jamaa mafia sana
 
Huo ndio uanamume,mtu anakudhalilishaje hivyo halafu anashindwa kuwa muelewa,show show tu mamamamake

Nilishawahi kumzibua konda mmoja hivyo hivyo,alikuwa analazimisha kuchukua nauli zaidi kuliko nauli halisi,chenchi alirudisha na kisago nilimpa na dereva wake nae akataka kujifanya anataka kuingilia wanichangie mande,hapo ndio unyamblisi wangu ulionekana vizuri,nwisho wa siku niliondoka kibabe,kuna watu wanamchukulia kila wanayemuona ni kolo
 
Mwaka 2010 nilikuwa na elfu kumi nikaingia mgahawani kinondoni manyanya nikapiga wali maini na juice nikarudishiwa baki yangu elfu tano mia tano, nakumbuka alipita omba omba nikampa mia tano. Ikabaki elfu tano kamili.

Balaa limeanzia kwenye daladala nimempa ile hela konda ananiambia elfu tano feki. Hapa sasa nilianza kuona jasho linaanza kunitoka alafu sina hela nyingine ikabidi nimwambie nipe nione. Kuiangalia kweli ile hela kabisa ni kimeo.

Konda akaanza na maneno yake "hii michezo yenu siku hizi tunaijua kafanyeni mikoani ndio mtakuta washamba washamba hapa mjini mtachomwa moto wezi wakubwa nyie" nilimwambia kilichotokea na kuwa kwanza sina hela nyingine zaidi ya hii na nipo tayari kurudi nilipopewa change. Abiria mmoja akanielewa akanipa elfu mbili ndio pona yangu.
 
Imenitokea week iliopita.

Nimetoka getting nikaenea stand kupanda daladala niende sehemu flani hivi.

Sasa gari imeondoka tuko katikati ya safari nastuka kuwa nimeacha wallet nyumbani, kwa hiyo nauli sina......

Konda alipofika kwangu nikaona Sina hata namna ya kumuelewesha kwamba Sina nauli, ikabidi niseme tu nimekaa vibaya ntakupa mbele....lakini kiuhalisia nimekaa vizuri tu comfortable.!

Konda akanichangamkia ""umekaa vibaya kivipi wakati ma***ko yote yapo kweny siti na umefungua dirisha unapata kiyoyozi, we broo vipi hebu nipe nauli bhana""

Gari zima wakageuka kuangalia Nani anaeambiwa hivo,,,,nilijiskia Soo kishenzi, lkn nikaona nisipaniki wala nin......nikajiinua kidogo ili nimwambie kwa sauti ya chini sikioni ""kaka bahati mbaya nimesahau nauli nifadhiri ndugu yangu""

Konda akawaka kwa sauti kubwa tofauti na nilioianzisha Mimi...
""""Afu nyie ndo wachawi mnaodharau kazi za watu, Kwanza mi siwezi kuwa na ndugu mshamba kama wew ambae anakumbuka kuvaa vizuri, ananyoa vizuri afu hana hata Mia mfukoni,,,,nyie ndo matapeli hapa mjini""""

Daaah basi gari zima wananiangalia mim....nilijiskia aibu sana...basi yule konda alinipa shombo nyingi sana......!!!!!

Mara ghafla """ Kwanza hebu simama hapo ushike bomba wenye nauli wakae..""" nikawa najivuta kidogo """we m""nge nimesema simama wenye nauli wakae....hii sio gari ya kuhudumia maskini na matapeli""

Wazeee hasira zilizonipanda baada ya kauli hiyo ni Mungu pekee ndo anaejua maana nilijikuta ghafla mwili unaanza kutetemeka na vidole vinaanza kujikunja taratibu kutengeneza umbo la ngumi.

Nikashika bomba huku gari ikiendelea na konda akianza kunitolea shombo mpaka baadhi ya abiria wakaanza kumwambie
""basi konda inatosha msamehe kaka wa watu, bahati mbaya haina mwenyewe mbona unamsema safar nzima"""

Konda """hamna bhna hivi vijamaa ndo vichawi vya biashara yetu, Kwanza usikute humu kaingia kuja kuibia watu,,,Kwanza nakushusha kituo Cha mbele mpumbavu wew.....unaleta dharau na masihara kwnye kazi za watu"""

Daaah basi nikiwa nimeshika bomba pale afu peke yangu gari zima wamekaa wananiangalia mim....akili ikaanza kuniambiaa "mpe ngumi janja""....""mchape moja ya maana amekufedhehesha sana"""

Jamaa alikua kama hatua nne mbele yangu, basi nikajisogeza taratibu ili nianze kuongea nae vizur kwamba kwa nn ameshindwa kunielewa na hata kama kashindwa kwa nin anitolee kauli chafu kiasi kile....
Nilijua tu lazma angejibu shombo na hapo ndo nikapanga kutimiza kile nilichokiskia kichwani kwangu kumrushia mangumi na mateke yasio na idadi.......
Basi nikamfikia nakumuuliza kistaarabu kabisa...
""Oya kaka Sasa hata kama Sina nauli kwa nin ufikie hatua ya kunitolea matusi kiasi hiki mwanangu!??""

Konda akaingia kwnye 18 zangu....."""acha umaku ww Yani nauli hujanipa afu unanipangia Cha kuongea,""""

Ndugu zangu,,,,nilirusha ile ngumi mpaka nikaskia kabisa joint ya bega imelia taaaaaaaaaaaaaahhhh,,,,,,gari zima likawaka kwa makelele na wengine wakisimama kuja kuamulia.....na hapo Sasa ndo nikawa nimejaa upepo kiukweli ukweli Sasa.......huku ubongo ukizidi kuongea na nafsi....""" Muongeze bhana unasubiri nin......ile nataka kumfata nimpe zingine gari ikasimama kwa ghafla basi sikushika popote ikasababisha nianguke...bila kudaka siti zile za pembeni ningetangulia kisogo.....!!!
Dereva akaja nae spidi lakin akaongea kistaarabu kwamba nishuke tu kwny gari,,,,abiria wakachachamaa kwamba konda kayataka yote hayo......Dada mmoja akaamua kutoa elfu tano yake kumpa yule dereva kama nauli yangu na hakuhitaji hata chenji......!!!! Basi baada ya mabishano ya dk kama nne hivi ikabidi dereva akubali...gari ikawashwa huku konda akiwa amekua mmpole kama pilitoni na safari ikaisha vizuri kabisa.......!!!

Nimekumbuka hili baada ya yule Dada alienilipia nauli kunitafuta mda huu kwnye simu tumepiga stori mbili tatu akanikumbusha kizaa zaa hicho huku akiwa anacheka kinoma.....
Dah hii story haijaisha vizuri..mim kama director nasema,ilitakiwa mbele gari ikamatwe kwa kosa lolote hata la kutanua,alafu trafki achachamae mbaya afu washangae unaenda kuongea na trafki anakupigia salute mkubwa wake wa kazi.unarudi ndani ya gari wanakupa heshma yako iliyopotezwa na konda,then unaamka kumekucha maana ulikuwa unaota.
 
mwingine juzi kajichanganya kama alivyokuwa akiimba mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23].

kaombwa udhuru wa kupungukiwa nauli konda kakaza,anataka hela yake yote 500,jamaa alivyoona haeleweki ikabidi,atoe 10000.konda akakata buku,kuulizwa anasema jamaa msumbufu.

jamaa kumbe ni mwanajeshi kaenda kujiandaa akamsubiri konda trip ya pili akamshika,kumpeleka kambini.
jamaa kaimba sana mixer kuogelea kwenye tope na uniform zake hoii[emoji23][emoji23][emoji23].

huu mji bana,unawezatolewa upepo mpaka ukaanza kuwaza sijui umuue mhusika,sema kuna jera[emoji23].
-------------------------------------

Binafsi nilikuwa nimekaa kijiweni na jamaa kibao,sasa nikapigiwa simu ghafla na jamaa mmoja tulikuwa tumepanga jambo muhimu sana,kwaba nifike sehemu husika haraka sana.

nikanyanyuka nikiwa na kumbukumbu kwamba nina 5000 mfukoni,imefika muda naitishwa nauli search kila mfuko holaaa,geuza mpaka kasha la simu,bila bila.nikaona dah hiki kimbembe.
nikamwambia konda aisee nimedondosha nauli,akaanza shombo kabla sijamaliza,nikamtilia vinegar namimi."mbona unadakia sijamaliza"
utanisubiri kituoni nikatoe kwa wakala nikupe,hapo ndio akakausha[emoji16][emoji16][emoji16].

ila jamani hakikisha pesa unazigawanya kwenye nguo,sio unarundika mfuko mmoja,hii dhahma isikie kwa mwingine tu.
yule msambaa alojichanganya alinichekesha sana asee[emoji1787][emoji1787]
 
Safi sana, dada zetu huwa wanapendaga sana mwanaume anaeishi kwenye uhalisia kama yaliyokutokea na ndiyo maana ikawa rahis akaukudhamini si umeona wanaume walikausha, halafu pia umeonyesha unaweza kuparangana vilovyo mdada anajua akiwa nawe ulinzi upo, yani kwa ufupi dada zetu wanapenda vitu vitu kama hivyo
Hahahaa mkuu umeongea as if tyr huyo Dada nipo nae geto
 
Mimi siku hizi nimekuwa tofauti sana, sijui ndo naelekea ukubwani au la.

Nikirudi home jioni natoa vitu vyote mifukoni, coins, wallet kama ipo maana siku zingine siibebagi, IDs, leseni ya kuwaonesha matrafiki, funguo na pesa naweka juu kwenye dressing table. Asubuhi inanipa urahisi ninapochukua ya chombo changu kunakuwa na vijisent pale navyo naweka mfukoni. Licha ya hivyo kuna siku nishawahi kufika eneo la kazi sina hela ya breakfast sababu sikubeba hela hata mia na nilikuja kugundia nilipotaka kumlipa mama muuzaji canteen.

Anyway, scanerio ya hivyo ishawahi nitokea back in 2016 Mwanza, nimetoka Mecco asubuhi nimevalia kiofisi nimependeza vizuri tu. Tumefika Natta, konda anadai nauli kujisearch sina hata 100. Nikamuambia ukweli tu bwana nimesahau, hakuongea sana, alilalamika kidogo akakausha.

Tulipofika town pale stand nikashuka. Nikamwambia konda we si bado mnaitia abiroa wa Bwiru hapa nakuletea 400/- yako hapa hapa. Hakuamini, driver akamwambia aniache niende kama muaminifu nitarudi. Hapo nilikua nna wanangu wamachinga nimezoeana nao pale makoroboi kwa fundi wangu wa nguo mida ile ningemkuta japo mmoja anitoe jero.

Nikaanza kuondoka. Nafika pale msikitini tu, nadhani ni Rwegasore St, nikakutana na dogo moja namfahamu anafanyia depo ya coca ya pale Tanganyika stand ya zamani nikamwomba anitoe jero. Akanipa nikarudi kumpelekea konda. Konda hakuamini, akasema dah! Umeipata wapi mbona muda mfupi? Nikamwambia mi mtu wa watu nilikua na uhakika nakukuta hapa hapa. Nikastirika na kuondoka.
Muungwana sana ubarikiwe.
Hata mimi kwa kweli Jasho lisilo langu sipendi kula
 
Nimecheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani mkuu umesimulia kihisia sana, pole kwa yaliyokukuta, siku ingine ungeomba hata nauli kwa mtu wa pembeni, konda tena wa dar oyomiiii [emoji1][emoji1][emoji1]
mimi ilinikuta nimepanda kumbe nina 200 tu mfukoni, nikaomba kwa jirani alipie 300 iliyobaki halafu nimtumie kwa simu 2000 akagoma, aisee bora tu ukomae mwenyewe, mimi onda alinielewa kirahisi kabisa kuw animejisahau, nikampa 200 niliyokuwa nayo, watu wenye roho nzuri bado wapo
 
Imenitokea week iliopita.

Nimetoka getting nikaenea stand kupanda daladala niende sehemu flani hivi.

Sasa gari imeondoka tuko katikati ya safari nastuka kuwa nimeacha wallet nyumbani, kwa hiyo nauli sina......

Konda alipofika kwangu nikaona Sina hata namna ya kumuelewesha kwamba Sina nauli, ikabidi niseme tu nimekaa vibaya ntakupa mbele....lakini kiuhalisia nimekaa vizuri tu comfortable.!

Konda akanichangamkia ""umekaa vibaya kivipi wakati ma***ko yote yapo kweny siti na umefungua dirisha unapata kiyoyozi, we broo vipi hebu nipe nauli bhana""

Gari zima wakageuka kuangalia Nani anaeambiwa hivo,,,,nilijiskia Soo kishenzi, lkn nikaona nisipaniki wala nin......nikajiinua kidogo ili nimwambie kwa sauti ya chini sikioni ""kaka bahati mbaya nimesahau nauli nifadhiri ndugu yangu""

Konda akawaka kwa sauti kubwa tofauti na nilioianzisha Mimi...
""""Afu nyie ndo wachawi mnaodharau kazi za watu, Kwanza mi siwezi kuwa na ndugu mshamba kama wew ambae anakumbuka kuvaa vizuri, ananyoa vizuri afu hana hata Mia mfukoni,,,,nyie ndo matapeli hapa mjini""""

Daaah basi gari zima wananiangalia mim....nilijiskia aibu sana...basi yule konda alinipa shombo nyingi sana......!!!!!

Mara ghafla """ Kwanza hebu simama hapo ushike bomba wenye nauli wakae..""" nikawa najivuta kidogo """we m""nge nimesema simama wenye nauli wakae....hii sio gari ya kuhudumia maskini na matapeli""

Wazeee hasira zilizonipanda baada ya kauli hiyo ni Mungu pekee ndo anaejua maana nilijikuta ghafla mwili unaanza kutetemeka na vidole vinaanza kujikunja taratibu kutengeneza umbo la ngumi.

Nikashika bomba huku gari ikiendelea na konda akianza kunitolea shombo mpaka baadhi ya abiria wakaanza kumwambie
""basi konda inatosha msamehe kaka wa watu, bahati mbaya haina mwenyewe mbona unamsema safar nzima"""

Konda """hamna bhna hivi vijamaa ndo vichawi vya biashara yetu, Kwanza usikute humu kaingia kuja kuibia watu,,,Kwanza nakushusha kituo Cha mbele mpumbavu wew.....unaleta dharau na masihara kwnye kazi za watu"""

Daaah basi nikiwa nimeshika bomba pale afu peke yangu gari zima wamekaa wananiangalia mim....akili ikaanza kuniambiaa "mpe ngumi janja""....""mchape moja ya maana amekufedhehesha sana"""

Jamaa alikua kama hatua nne mbele yangu, basi nikajisogeza taratibu ili nianze kuongea nae vizur kwamba kwa nn ameshindwa kunielewa na hata kama kashindwa kwa nin anitolee kauli chafu kiasi kile....
Nilijua tu lazma angejibu shombo na hapo ndo nikapanga kutimiza kile nilichokiskia kichwani kwangu kumrushia mangumi na mateke yasio na idadi.......
Basi nikamfikia nakumuuliza kistaarabu kabisa...
""Oya kaka Sasa hata kama Sina nauli kwa nin ufikie hatua ya kunitolea matusi kiasi hiki mwanangu!??""

Konda akaingia kwnye 18 zangu....."""acha umaku ww Yani nauli hujanipa afu unanipangia Cha kuongea,""""

Ndugu zangu,,,,nilirusha ile ngumi mpaka nikaskia kabisa joint ya bega imelia taaaaaaaaaaaaaahhhh,,,,,,gari zima likawaka kwa makelele na wengine wakisimama kuja kuamulia.....na hapo Sasa ndo nikawa nimejaa upepo kiukweli ukweli Sasa.......huku ubongo ukizidi kuongea na nafsi....""" Muongeze bhana unasubiri nin......ile nataka kumfata nimpe zingine gari ikasimama kwa ghafla basi sikushika popote ikasababisha nianguke...bila kudaka siti zile za pembeni ningetangulia kisogo.....!!!
Dereva akaja nae spidi lakin akaongea kistaarabu kwamba nishuke tu kwny gari,,,,abiria wakachachamaa kwamba konda kayataka yote hayo......Dada mmoja akaamua kutoa elfu tano yake kumpa yule dereva kama nauli yangu na hakuhitaji hata chenji......!!!! Basi baada ya mabishano ya dk kama nne hivi ikabidi dereva akubali...gari ikawashwa huku konda akiwa amekua mmpole kama pilitoni na safari ikaisha vizuri kabisa.......!!!

Nimekumbuka hili baada ya yule Dada alienilipia nauli kunitafuta mda huu kwnye simu tumepiga stori mbili tatu akanikumbusha kizaa zaa hicho huku akiwa anacheka kinoma.....
japo ulikosea ila nimeipenda sana
 
Duh. Pole sana
 
Back
Top Bottom