Hivi ushawahi kukutana na hii kitu

Hivi ushawahi kukutana na hii kitu

Antennah

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Posts
7,023
Reaction score
9,261
Imenitokea week iliopita.

Nimetoka getting nikaenea stand kupanda daladala niende sehemu flani hivi.

Sasa gari imeondoka tuko katikati ya safari nastuka kuwa nimeacha wallet nyumbani, kwa hiyo nauli sina......

Konda alipofika kwangu nikaona Sina hata namna ya kumuelewesha kwamba Sina nauli, ikabidi niseme tu nimekaa vibaya ntakupa mbele....lakini kiuhalisia nimekaa vizuri tu comfortable.!

Konda akanichangamkia ""umekaa vibaya kivipi wakati ma***ko yote yapo kweny siti na umefungua dirisha unapata kiyoyozi, we broo vipi hebu nipe nauli bhana""

Gari zima wakageuka kuangalia Nani anaeambiwa hivo,,,,nilijiskia Soo kishenzi, lkn nikaona nisipaniki wala nin......nikajiinua kidogo ili nimwambie kwa sauti ya chini sikioni ""kaka bahati mbaya nimesahau nauli nifadhiri ndugu yangu""

Konda akawaka kwa sauti kubwa tofauti na nilioianzisha Mimi...
""""Afu nyie ndo wachawi mnaodharau kazi za watu, Kwanza mi siwezi kuwa na ndugu mshamba kama wew ambae anakumbuka kuvaa vizuri, ananyoa vizuri afu hana hata Mia mfukoni,,,,nyie ndo matapeli hapa mjini""""

Daaah basi gari zima wananiangalia mim....nilijiskia aibu sana...basi yule konda alinipa shombo nyingi sana......!!!!!

Mara ghafla """ Kwanza hebu simama hapo ushike bomba wenye nauli wakae..""" nikawa najivuta kidogo """we m""nge nimesema simama wenye nauli wakae....hii sio gari ya kuhudumia maskini na matapeli""

Wazeee hasira zilizonipanda baada ya kauli hiyo ni Mungu pekee ndo anaejua maana nilijikuta ghafla mwili unaanza kutetemeka na vidole vinaanza kujikunja taratibu kutengeneza umbo la ngumi.

Nikashika bomba huku gari ikiendelea na konda akianza kunitolea shombo mpaka baadhi ya abiria wakaanza kumwambie
""basi konda inatosha msamehe kaka wa watu, bahati mbaya haina mwenyewe mbona unamsema safar nzima"""

Konda """hamna bhna hivi vijamaa ndo vichawi vya biashara yetu, Kwanza usikute humu kaingia kuja kuibia watu,,,Kwanza nakushusha kituo Cha mbele mpumbavu wew.....unaleta dharau na masihara kwnye kazi za watu"""

Daaah basi nikiwa nimeshika bomba pale afu peke yangu gari zima wamekaa wananiangalia mim....akili ikaanza kuniambiaa "mpe ngumi janja""....""mchape moja ya maana amekufedhehesha sana"""

Jamaa alikua kama hatua nne mbele yangu, basi nikajisogeza taratibu ili nianze kuongea nae vizur kwamba kwa nn ameshindwa kunielewa na hata kama kashindwa kwa nin anitolee kauli chafu kiasi kile....
Nilijua tu lazma angejibu shombo na hapo ndo nikapanga kutimiza kile nilichokiskia kichwani kwangu kumrushia mangumi na mateke yasio na idadi.......
Basi nikamfikia nakumuuliza kistaarabu kabisa...
""Oya kaka Sasa hata kama Sina nauli kwa nin ufikie hatua ya kunitolea matusi kiasi hiki mwanangu!??""

Konda akaingia kwnye 18 zangu....."""acha umaku ww Yani nauli hujanipa afu unanipangia Cha kuongea,""""

Ndugu zangu,,,,nilirusha ile ngumi mpaka nikaskia kabisa joint ya bega imelia taaaaaaaaaaaaaahhhh,,,,,,gari zima likawaka kwa makelele na wengine wakisimama kuja kuamulia.....na hapo Sasa ndo nikawa nimejaa upepo kiukweli ukweli Sasa.......huku ubongo ukizidi kuongea na nafsi....""" Muongeze bhana unasubiri nin......ile nataka kumfata nimpe zingine gari ikasimama kwa ghafla basi sikushika popote ikasababisha nianguke...bila kudaka siti zile za pembeni ningetangulia kisogo.....!!!
Dereva akaja nae spidi lakin akaongea kistaarabu kwamba nishuke tu kwny gari,,,,abiria wakachachamaa kwamba konda kayataka yote hayo......Dada mmoja akaamua kutoa elfu tano yake kumpa yule dereva kama nauli yangu na hakuhitaji hata chenji......!!!! Basi baada ya mabishano ya dk kama nne hivi ikabidi dereva akubali...gari ikawashwa huku konda akiwa amekua mmpole kama pilitoni na safari ikaisha vizuri kabisa.......!!!

Nimekumbuka hili baada ya yule Dada alienilipia nauli kunitafuta mda huu kwnye simu tumepiga stori mbili tatu akanikumbusha kizaa zaa hicho huku akiwa anacheka kinoma.....
 
Umenifuraisha hapo kwenye kumtandika ngumi.
Maana uligundua umekosea na ukajishusha lakini bado mtu anakuletea shombo wakati umekubali kosa na kujishusha.
Ndio mwanaume anavyokuwa hakuna dharau mbele ya kauli safi.
 
Daah niliondoka nyumbani sina nauli nikasema nikifika pale stand nitatoa hela kwenye simu ...eeeh bwana si nikasahau nikapanda gari ile nakaribia kushuka ndio nastuka
Sema nilimnong'oneza konda akanielewa
 
Nilikutana na moja hivi....jamaa anaombwa nauli na konda..jamaa akawa anasema amempa konda elfu kumi anaomba chenji..ulikuwa ni mzozo hadi wakaanza kukwidana...ikabidi dereva akapaki gari polisi..hapo hapo mi na dingi mmoja tukashuka na kusepa bila kulipa tukawaacha hapo...
 
Makonda wengine ni waelewa sana .......ila wachache mkuu......mi nilirusha ngumi bhana
 
Nilikutana na moja hivi....jamaa anaombwa nauli na konda..jamaa akawa anasema amempa konda elfu kumi anaomba chenji..ulikuwa ni mzozo hadi wakaanza kukwidana...ikabidi dereva akapaki gari polisi..hapo hapo mi na dingi mmoja tukashuka na kusepa bila kulipa tukawaacha hapo...
Hahahaaa daladala zina vituko vingi sana mkuu......
 
Hata kama Konda kakosea kwa kukutukana ila nawe pia umekosea,hukua mkweli toka mwanzo,ulimwambia Konda kua hujakaa vizuri ila utampa nauli yake ukikaa vizuri,halafu mara ghafla ukabadilika na kusema huna nauli! hapo ndipo palipompa hasira konda,kwanini hukua mkweli toka mwanzo kwakumwambia konda kua umesahau wallet yako home?
 
Mimi wakati nikiwa sekondari nilikua nakula nauli.

Konda akinidai namwambia ntampa nikishuka.

Sasa nikishuka naanza kuingiza mkono kwenye mfuko mmoja baada ya mwingine.

Mara mfuko wa shati, najifanya kama sikumbuki nimeweka mfuko gani.

Narudia tena kuji search mfuko mmoja baad ya mwingine.

Hapo gari ishaanza kuondoka taratibu konda ananisubiri huku akiniharakisha.

Baada ya kuona nimejikita kwenye ku search mfuko baada ya mfuko anakimbilia gari anaondoka, huku akiacha matusi kadhaa nyuma
 
Nilikutana na moja hivi....jamaa anaombwa nauli na konda..jamaa akawa anasema amempa konda elfu kumi anaomba chenji..ulikuwa ni mzozo hadi wakaanza kukwidana...ikabidi dereva akapaki gari polisi..hapo hapo mi na dingi mmoja tukashuka na kusepa bila kulipa tukawaacha hapo...
[emoji3][emoji3]
 
Imenitokea week iliopita.

Nimetoka getting nikaenea stand kupanda daladala niende sehemu flani hivi.

Sasa gari imeondoka tuko katikati ya safari nastuka kuwa nimeacha wallet nyumbani, kwa hiyo nauli sina......

Konda alipofika kwangu nikaona Sina hata namna ya kumuelewesha kwamba Sina nauli, ikabidi niseme tu nimekaa vibaya ntakupa mbele....lakini kiuhalisia nimekaa vizuri tu comfortable.!

Konda akanichangamkia ""umekaa vibaya kivipi wakati ma***ko yote yapo kweny siti na umefungua dirisha unapata kiyoyozi, we broo vipi hebu nipe nauli bhana""

Gari zima wakageuka kuangalia Nani anaeambiwa hivo,,,,nilijiskia Soo kishenzi, lkn nikaona nisipaniki wala nin......nikajiinua kidogo ili nimwambie kwa sauti ya chini sikioni ""kaka bahati mbaya nimesahau nauli nifadhiri ndugu yangu""

Konda akawaka kwa sauti kubwa tofauti na nilioianzisha Mimi...
""""Afu nyie ndo wachawi mnaodharau kazi za watu, Kwanza mi siwezi kuwa na ndugu mshamba kama wew ambae anakumbuka kuvaa vizuri, ananyoa vizuri afu hana hata Mia mfukoni,,,,nyie ndo matapeli hapa mjini""""

Daaah basi gari zima wananiangalia mim....nilijiskia aibu sana...basi yule konda alinipa shombo nyingi sana......!!!!!

Mara ghafla """ Kwanza hebu simama hapo ushike bomba wenye nauli wakae..""" nikawa najivuta kidogo """we m""nge nimesema simama wenye nauli wakae....hii sio gari ya kuhudumia maskini na matapeli""

Wazeee hasira zilizonipanda baada ya kauli hiyo ni Mungu pekee ndo anaejua maana nilijikuta ghafla mwili unaanza kutetemeka na vidole vinaanza kujikunja taratibu kutengeneza umbo la ngumi.

Nikashika bomba huku gari ikiendelea na konda akianza kunitolea shombo mpaka baadhi ya abiria wakaanza kumwambie
""basi konda inatosha msamehe kaka wa watu, bahati mbaya haina mwenyewe mbona unamsema safar nzima"""

Konda """hamna bhna hivi vijamaa ndo vichawi vya biashara yetu, Kwanza usikute humu kaingia kuja kuibia watu,,,Kwanza nakushusha kituo Cha mbele mpumbavu wew.....unaleta dharau na masihara kwnye kazi za watu"""

Daaah basi nikiwa nimeshika bomba pale afu peke yangu gari zima wamekaa wananiangalia mim....akili ikaanza kuniambiaa "mpe ngumi janja""....""mchape moja ya maana amekufedhehesha sana"""

Jamaa alikua kama hatua nne mbele yangu, basi nikajisogeza taratibu ili nianze kuongea nae vizur kwamba kwa nn ameshindwa kunielewa na hata kama kashindwa kwa nin anitolee kauli chafu kiasi kile....
Nilijua tu lazma angejibu shombo na hapo ndo nikapanga kutimiza kile nilichokiskia kichwani kwangu kumrushia mangumi na mateke yasio na idadi.......
Basi nikamfikia nakumuuliza kistaarabu kabisa...
""Oya kaka Sasa hata kama Sina nauli kwa nin ufikie hatua ya kunitolea matusi kiasi hiki mwanangu!??""

Konda akaingia kwnye 18 zangu....."""acha umaku ww Yani nauli hujanipa afu unanipangia Cha kuongea,""""

Ndugu zangu,,,,nilirusha ile ngumi mpaka nikaskia kabisa joint ya bega imelia taaaaaaaaaaaaaahhhh,,,,,,gari zima likawaka kwa makelele na wengine wakisimama kuja kuamulia.....na hapo Sasa ndo nikawa nimejaa upepo kiukweli ukweli Sasa.......huku ubongo ukizidi kuongea na nafsi....""" Muongeze bhana unasubiri nin......ile nataka kumfata nimpe zingine gari ikasimama kwa ghafla basi sikushika popote ikasababisha nianguke...bila kudaka siti zile za pembeni ningetangulia kisogo.....!!!
Dereva akaja nae spidi lakin akaongea kistaarabu kwamba nishuke tu kwny gari,,,,abiria wakachachamaa kwamba konda kayataka yote hayo......Dada mmoja akaamua kutoa elfu tano yake kumpa yule dereva kama nauli yangu na hakuhitaji hata chenji......!!!! Basi baada ya mabishano ya dk kama nne hivi ikabidi dereva akubali...gari ikawashwa huku konda akiwa amekua mmpole kama pilitoni na safari ikaisha vizuri kabisa.......!!!

Nimekumbuka hili baada ya yule Dada alienilipia nauli kunitafuta mda huu kwnye simu tumepiga stori mbili tatu akanikumbusha kizaa zaa hicho huku akiwa anacheka kinoma.....
Nimecheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani mkuu umesimulia kihisia sana, pole kwa yaliyokukuta, siku ingine ungeomba hata nauli kwa mtu wa pembeni, konda tena wa dar oyomiiii [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mimi wakati nikiwa sekondari nilikua nakula nauli.

Konda akinidai namwambia ntampa nikishuka.

Sasa nikishuka naanza kuingiza mkono kwenye mfuko mmoja baada ya mwingine.

Mara mfuko wa shati, najifanya kama sikumbuki nimeweka mfuko gani.

Narudia tena kuji search mfuko mmoja baad ya mwingine.

Hapo gari ishaanza kuondoka taratibu konda ananisubiri huku akiniharakisha.

Baada ya kuona nimejikita kwenye ku search mfuko baada ya mfuko anakimbilia gari anaondoka, huku akiacha matusi kadhaa nyuma
[emoji23][emoji23][emoji23] we ni hatar kwa afya...
 
Hata kama Konda kakosea kwa kukutukana ila nawe pia umekosea,hukua mkweli toka mwanzo,ulimwambia Konda kua hujakaa vizuri ila utampa nauli yake ukikaa vizuri,halafu mara ghafla ukabadilika na kusema huna nauli! hapo ndipo palipompa hasira konda,kwanini hukua mkweli toka mwanzo kwakumwambia konda kua umesahau wallet yako home?
Kunimind mim sikuona kama ni hoja coz kweli nilikosea....ila kunitukana hapana......haina uhalali kwangu hiyo
 
Imenitokea week iliopita.

Nimetoka getting nikaenea stand kupanda daladala niende sehemu flani hivi.

Sasa gari imeondoka tuko katikati ya safari nastuka kuwa nimeacha wallet nyumbani, kwa hiyo nauli sina......

Konda alipofika kwangu nikaona Sina hata namna ya kumuelewesha kwamba Sina nauli, ikabidi niseme tu nimekaa vibaya ntakupa mbele....lakini kiuhalisia nimekaa vizuri tu comfortable.!

Konda akanichangamkia ""umekaa vibaya kivipi wakati ma***ko yote yapo kweny siti na umefungua dirisha unapata kiyoyozi, we broo vipi hebu nipe nauli bhana""

Gari zima wakageuka kuangalia Nani anaeambiwa hivo,,,,nilijiskia Soo kishenzi, lkn nikaona nisipaniki wala nin......nikajiinua kidogo ili nimwambie kwa sauti ya chini sikioni ""kaka bahati mbaya nimesahau nauli nifadhiri ndugu yangu""

Konda akawaka kwa sauti kubwa tofauti na nilioianzisha Mimi...
""""Afu nyie ndo wachawi mnaodharau kazi za watu, Kwanza mi siwezi kuwa na ndugu mshamba kama wew ambae anakumbuka kuvaa vizuri, ananyoa vizuri afu hana hata Mia mfukoni,,,,nyie ndo matapeli hapa mjini""""

Daaah basi gari zima wananiangalia mim....nilijiskia aibu sana...basi yule konda alinipa shombo nyingi sana......!!!!!

Mara ghafla """ Kwanza hebu simama hapo ushike bomba wenye nauli wakae..""" nikawa najivuta kidogo """we m""nge nimesema simama wenye nauli wakae....hii sio gari ya kuhudumia maskini na matapeli""

Wazeee hasira zilizonipanda baada ya kauli hiyo ni Mungu pekee ndo anaejua maana nilijikuta ghafla mwili unaanza kutetemeka na vidole vinaanza kujikunja taratibu kutengeneza umbo la ngumi.

Nikashika bomba huku gari ikiendelea na konda akianza kunitolea shombo mpaka baadhi ya abiria wakaanza kumwambie
""basi konda inatosha msamehe kaka wa watu, bahati mbaya haina mwenyewe mbona unamsema safar nzima"""

Konda """hamna bhna hivi vijamaa ndo vichawi vya biashara yetu, Kwanza usikute humu kaingia kuja kuibia watu,,,Kwanza nakushusha kituo Cha mbele mpumbavu wew.....unaleta dharau na masihara kwnye kazi za watu"""

Daaah basi nikiwa nimeshika bomba pale afu peke yangu gari zima wamekaa wananiangalia mim....akili ikaanza kuniambiaa "mpe ngumi janja""....""mchape moja ya maana amekufedhehesha sana"""

Jamaa alikua kama hatua nne mbele yangu, basi nikajisogeza taratibu ili nianze kuongea nae vizur kwamba kwa nn ameshindwa kunielewa na hata kama kashindwa kwa nin anitolee kauli chafu kiasi kile....
Nilijua tu lazma angejibu shombo na hapo ndo nikapanga kutimiza kile nilichokiskia kichwani kwangu kumrushia mangumi na mateke yasio na idadi.......
Basi nikamfikia nakumuuliza kistaarabu kabisa...
""Oya kaka Sasa hata kama Sina nauli kwa nin ufikie hatua ya kunitolea matusi kiasi hiki mwanangu!??""

Konda akaingia kwnye 18 zangu....."""acha umaku ww Yani nauli hujanipa afu unanipangia Cha kuongea,""""

Ndugu zangu,,,,nilirusha ile ngumi mpaka nikaskia kabisa joint ya bega imelia taaaaaaaaaaaaaahhhh,,,,,,gari zima likawaka kwa makelele na wengine wakisimama kuja kuamulia.....na hapo Sasa ndo nikawa nimejaa upepo kiukweli ukweli Sasa.......huku ubongo ukizidi kuongea na nafsi....""" Muongeze bhana unasubiri nin......ile nataka kumfata nimpe zingine gari ikasimama kwa ghafla basi sikushika popote ikasababisha nianguke...bila kudaka siti zile za pembeni ningetangulia kisogo.....!!!
Dereva akaja nae spidi lakin akaongea kistaarabu kwamba nishuke tu kwny gari,,,,abiria wakachachamaa kwamba konda kayataka yote hayo......Dada mmoja akaamua kutoa elfu tano yake kumpa yule dereva kama nauli yangu na hakuhitaji hata chenji......!!!! Basi baada ya mabishano ya dk kama nne hivi ikabidi dereva akubali...gari ikawashwa huku konda akiwa amekua mmpole kama pilitoni na safari ikaisha vizuri kabisa.......!!!

Nimekumbuka hili baada ya yule Dada alienilipia nauli kunitafuta mda huu kwnye simu tumepiga stori mbili tatu akanikumbusha kizaa zaa hicho huku akiwa anacheka kinoma.....
Yule dada alikulipia na namba ya simu akachukua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi ji dada mstaarabu sana [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom