Hivi ushawahi jiuliza kwa nini taasisi za Bank tunaziamini kutuwekea/hifadhia mahela yetu, ila huduma ndogo tu kama kuchimba dawa hawawezi kukupatia!?

Rweyemam105

Member
Joined
Sep 8, 2012
Posts
88
Reaction score
112
Hallo wana JF!?

Ulishawahi patwa na dharura ya kutaka kuchimba dawa pindi uwapo Bank unataka Ku deposit muamala wako!? Je! Kuna Bank yoyote iliyowahi kukupa hii huduma hata kama wewe ni VIP wao!?

Kingine, kinachoniudhi, ni pale unaweza ukawa upo Bank, unapigiwa na mtu ambaye mnataka ku finalise deal la hela, kisha anakuja askari anakwambia, zima simu. Huku wale wanaochati wakiendelea kuchati. Does it make sense kwenu !? Hii Idea ya kutokuongea na simu uwapo Bank ishapitwa na wakati.
Kwani wameajiri walinzi wa kazi gani!?

Watu wakitaka kukupiga wanaweza pia kutumia njia ya charting ambayo wewe huitilii maanani.

Bank tubadilike. Tutoe huduma muhimu kama kuchimba dawa kwa wateja wetu, hata ikiwezekana chai, kahawa, wifi, maji ya kunywa bure kwa wateja wenu, kwani unakuta mnamshikilia mteja zaidi ya masaa 2 hadi 3 wakati mwingine.

Mm yangu ni hayo tu. Kama kuna kero nyingine kwenye taasisi za Bank naomba tuziainishe ili kuleta Ufanisi.
 
Vyoo huwa vipo labda wewe tu Huwa huulizi zilipo.Unataka kusema wafanyakazi wa benki hawanyi?
 
Mimi simu zangu za biashara napokeaga, Mpaka mlinzi aje aniongeleshe nakua nisha close deal.

Na ni bora nitoke nje, lakini sio niache simu ya maana.

Nazani wanafanya hivo kuondoa kelele mle ndani
 
Hata mimi nafanyaga hivi,siwezi kuachia dili ya maana inipite kwa kuhofia walinzi
 
Uliomba kuchimba dawa ukanyimwa?
Amekuambia nani bank simu haziruhusiwi tungekuwa tunazisalenda mapokezi.
Bank hakutakiwi kelele pesa inataka utulivu.
Sasa tukiruhusu kila mtu aongee sisi wachina na wasukuma si ndani patakuwa zogo maana sauti zetu ni za juu.
Thus ukitaka kuongea nenda nje au hakusubiri utoke bank.
Bank gani hio siku hizi ukae masaa matatu ndani,imezidi sana ni dakika 40 tena peak hours.
Wanadhibiti kelele na sio wizi.
Kwa foleni hizi ukaibe bank umechoka kuishi.
 
Hallo wana JF!?

Ulishawahi patwa na dharura ya kutaka kuchimba dawa pindi uwapo Bank unataka Ku deposit muamala wako!? Je! Kuna Bank yoyote iliyowahi kukupa hii huduma hata kama wewe ni VIP wao!?

Kingine, kinachoniudhi, ni pale unaweza ukawa upo Bank, unapigiwa na mtu ambaye mnataka ku finalise deal la hela, kisha anakuja askari anakwambia, zima simu. Huku wale wanaochati wakiendelea kuchati. Does it make sense kwenu !? Hii Idea ya kutokuongea na simu uwapo Bank ishapitwa na wakati.
Kwani wameajiri walinzi wa kazi gani!?

Watu wakitaka kukupiga wanaweza pia kutumia njia ya charting ambayo wewe huitilii maanani.

Bank tubadilike. Tutoe huduma muhimu kama kuchimba dawa kwa wateja wetu, hata ikiwezekana chai, kahawa, wifi, maji ya kunywa bure kwa wateja wenu, kwani unakuta mnamshikilia mteja zaidi ya masaa 2 hadi 3 wakati mwingine.

Mm yangu ni hayo tu. Kama kuna kero nyingine kwenye taasisi za Bank naomba tuziainishe ili kuleta Ufanisi.
Pia ule mtindo wa kufunga peni na kakamba kama mbuzi sio kabisa. Waambie wajirekebishe.
 
Back
Top Bottom