Hivi Urusi anachotaka nini hasa kwenye dunia hii

Hivi Urusi anachotaka nini hasa kwenye dunia hii

NATO member mmoja akiguswa hats kwa bahati mbaya NATO na hata collective west watajibu accordingly dhidi ya adui aliyeshambulia.
Waitin...
Nimekaa pale yeyote kutoka NATO akirusha hats kipande cha muhogo niiteni anko magu.


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app

Ha ha ha haaa. Yaani NATO ashambulie Moscow.

watu wakisikia Nato wanajua lidude likubwa hivi( Nato ni Us, German, Turkey Uk na France. Wengine Chawa tu)

Sasa hawa nani anaweza kukubali arushe Makombora Moscow ?????? Lets be Honest.

Hata Russia hawez kurupuka kushambulia Nato.

Ni maamuzi magumu na hatari Mno wazee, hayatakuja kutokea!!!!
 
Miaka hii yote, Urusi imekuwa ikitafuta 'world domination' hususani ushawishi ambao ilikuwa nao kabla ya kuvunjika kwa USSR.

Ukifuatilia siasa za Urusi, mara nyingi utawasikia watawala wakisema kuwa wanapigana vita dhidi ya "west" kwa "maslahi ya dunia" na propaganda nyinginezo.

Kilichopo ni kuwa, hii ni vita ya kutafuta kuitawala dunia (world domination) kati ya pande mbili huku upande mmoja (Urusi) ukitafuta namna ya kurejesha ushawishi wake uliopotea miaka takribani 30 iliyopita.
Urusi haitainuka tena kiushawishi kama ilivyokuwa Ussr....hii Vita imemaliza kabisa ule ushawishi mdogo uliokuwa umebakia
 
Back
Top Bottom