Hivi ungekuwa mfanyakazi wa ATCL sasa hivi ungekuwa unawazaje?

sirjohn

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
767
677
Magufuli kasema bila kificho atawafukuza wote!

Hivi hawa jamaa kwa sasa wanawaza nini maana bosi anapokwambia atakufukuza bila woga na kificho ni hatari sana.

Ingekuwa zamani wangeanza kukomba kila kitu na kuwacha acc zinadaiwa lakini sasa hawawezi. Nawaonea huruma sana hawa jamaa.
 
Ni hatari kweli kama ndio umekaa na mke na watoto arafu bro magu anafunguka kuwa utatumbuliwa unaweza kufa kwa pressure
 
Haaaaa, acha tu, Dingi yangu mkubwa yuko pale kaniambia ameamua kujikita zaidi kwenye biashara zake kazi za kuajiriwa hataki tena.
 
Magufuli kasema bila kificho atawafukuza wote!

Hivi hawa jamaa kwa sasa wanawaza nini maana bosi anapokwambia atakufukuza bila woga na kificho ni hatari sana.

Ingekuwa zamani wangeanza kukomba kila kitu na kuwacha acc zinadaiwa lakini sasa hawawezi. Nawaonea huruma sana hawa jamaa.
Kama waliwekwa na wajomba zao kimagumashi,hakika watataabika sana kama wako pale kwa ajili ya professional zao nina imani watapeta tu
 
Back
Top Bottom