SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 4,800
- 8,986
Unampenzi wako mmeaminiana mkapeana ufunguo wako wanyumba sasa kuna siku hajakitaarifu kakununulia gari kaona aje akusuprise . Kufungua mlango akakukuta nyumbani na mwanamke mwingine mkiwa katikati ya mahaba yenu.
Na hakuja mwenyewe alikuja na familia yako na marafiki hii ingekuwa wewe ungefanyaje??
Huyo uliyekutwa naye hana hela wala juhudi yeyote umemlipa ili upige shoo. Huyo aliyekufumania ndio alikuwa wakwako wa matarajio ya mbeleni