Hivi Unawezaje kutomchagua mtu Kama huyu.

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,151
33,335
Tangu utoto wake amekua akipigania haki,
Aliwatetaa watu waliobomolewa nyumba zao bila fidia,kupisha uchimbaji madini.
Aliwatetaa watu ambao ndugu zao walizikwa hai,ili wapate Haki zao,
Aliwatetaa waliofungwa watu zaidi ya 400 waliofungwa kionevu,kiss mgogoro wa wawekezaji wa madini,wengi aliwatoa bure,hawakua na uwezo kifedha,
Hayo Ni mengi,tutayajadili mbele.

Leo hii mtu huyo anagombea urais.

Sasa utaachaje kumchagua mtu anaeahidi
Bima ya afya kwa watu wote,

Kodi rafiki kwa wafanyabiashara,

Nyongeza za mishahara kwa wafanyakazi sekta za Uma na binafsi,

Fidia kwa wafanyakazi kwa kunyima nyongeza miaka mitano,

Kuondoa vizingiti kwa wakulima ,ili kila mkulima awe huru kuuza ma,ao yake popote kwa Bei anayo taka,
Kurudisha riba ya awali kwa mikopo ya wanachuo,

Waliobomolewa kionevu kufidiwa,

Wanajeshi,Polisi,Tiss,Magereza,na mgambo kuongozwa mishahara na kutokushushwa vyeo,licha ya kumlinda jiwe,

Atashusha Bei za vifaa vya ujenzi,ili watu wawe na makazi Bora,

Wanaotaka kwenda nje kutafuta maisha kupata pass itakua rahisi,

Vitambuliaho vya machinga kuondolewa,

Kwangu Mimi Ni mwisho,unaweza kuongeza yako,lakini kubwa kuliko yote Ni kutumika katiba Pendekezwa na kamati ya Jaji Warioba,hapa ndio suluhisho la matatazo yooote nchi hi.

Kwa hayo machache Ni Nani mwenye Roho Safi,akili timamu na upendo kwa nchi na wananchi ataacha kumpigia kura mtu huyu?
Namaanisha kumchagua TUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISSU kuwa Rais wa Tanzania.

Ni mpenda Haki,
Mtanzania mwenzetu,
Ana Roho ya upendo na huruma,
Hapendi kuonea,Wala kuona mtu akionewa,
Mstaarabu,
Hana dharau,
Hana kiburi,
Hana visasi,
Hana kinyongo,
Hawezi kudhalilisha walio chini yake,
Anasikiliza ushauri,anashaurika anapenda kushauriwa,na hufanyika kazi ushauri baada ya kujiridhisha,
Ni mwanasheria,hivyo ataongoza nchi kwa utawala wa sheria ,sio amri,utashi binafsi au ubabe.

VOTE FOR LISSU 2020
 
2529639_Screenshot_2020-09-24-19-55-15-1.jpg

Kwa kifupi ni kwamba Magufuli AMEJIFUKUZISHA KAZI MWENYEWE
 
Kura yangu na za ndugu zangu na marafiki zangu kwa Mwamba wetu Magufuli. Rais anayejua kuzitafuta pesa bila kutegemea mabeberu, Rais asiyetegemea beberu, Rais anayefanya kwa bidii 24 hours, Rais anayejituma, Rais anayepigana na vita ya rushwa, Rais alive rudisha maadili mazuri makazini, Rais anayetugengea Reli na madaraja kama ya ulaya, Rais anayetugengea Hospitali, Rais anajua kukusanya kodi ili aendeshe nchi kirahisi, Rais aliye ondoa ufisadi.
 
Akichaguliwa ataongeza mishara ya miaka mitano + , ataajiri wahitimu wote, atasitisha kodi, atashusha bei ya vifaa vya ujenzi , ....unatakiwa kuwa taahira kuamini upupu huuu, Kwa pesa ipi ?? Hii ya kukusanya one tillion per month huku spending ya mishahara tu ni 800 Billion ukibakiwa na 200 bil ya maendeleo,😀😀 haha hahaaa , best solution ni kukimbilia misaada ya mabeberu ambapo in return watapata resources zote ... Ndo mana mwamba alimuwasha risasi alipoona anawatetea wachimba migodi kwenye mikataba......Hzi ndo hoja mlenda mlenda
 
Lissu anastahili! Ila siyo magufuli. Huwezi kuwa na Rais anayeona ndege ni bora zaidi kuliko mwanadamu mwenzake.
 
Tangu utoto wake amekua akipigania haki,
Aliwatetaa watu waliobomolewa nyumba zao bila fidia,kupisha uchimbaji madini.
Aliwatetaa watu ambao ndugu zao walizikwa hai,ili wapate Haki zao,
Aliwatetaa waliofungwa watu zaidi ya 400 waliofungwa kionevu,kiss mgogoro wa wawekezaji wa madini,wengi aliwatoa bure,hawakua na uwezo kifedha,
Hayo Ni mengi,tutayajadili mbele.

Leo hii mtu huyo anagombea urais.

Sasa utaachaje kumchagua mtu anaeahidi
Bima ya afya kwa watu wote,

Kodi rafiki kwa wafanyabiashara,

Nyongeza za mishahara kwa wafanyakazi sekta za Uma na binafsi,

Fidia kwa wafanyakazi kwa kunyima nyongeza miaka mitano,

Kuondoa vizingiti kwa wakulima ,ili kila mkulima awe huru kuuza ma,ao yake popote kwa Bei anayo taka,
Kurudisha riba ya awali kwa mikopo ya wanachuo,

Waliobomolewa kionevu kufidiwa,

Wanajeshi,Polisi,Tiss,Magereza,na mgambo kuongozwa mishahara na kutokushushwa vyeo,licha ya kumlinda jiwe,

Atashusha Bei za vifaa vya ujenzi,ili watu wawe na makazi Bora,

Wanaotaka kwenda nje kutafuta maisha kupata pass itakua rahisi,

Vitambuliaho vya machinga kuondolewa,

Kwangu Mimi Ni mwisho,unaweza kuongeza yako,lakini kubwa kuliko yote Ni kutumika katiba Pendekezwa na kamati ya Jaji Warioba,hapa ndio suluhisho la matatazo yooote nchi hi.

Kwa hayo machache Ni Nani mwenye Roho Safi,akili timamu na upendo kwa nchi na wananchi ataacha kumpigia kura mtu huyu?
Namaanisha kumchagua TUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISSU kuwa Rais wa Tanzania.

Ni mpenda Haki,
Mtanzania mwenzetu,
Ana Roho ya upendo na huruma,
Hapendi kuonea,Wala kuona mtu akionewa,
Mstaarabu,
Hana dharau,
Hana kiburi,
Hana visasi,
Hana kinyongo,
Hawezi kudhalilisha walio chini yake,
Anasikiliza ushauri,anashaurika anapenda kushauriwa,na hufanyika kazi ushauri baada ya kujiridhisha,
Ni mwanasheria,hivyo ataongoza nchi kwa utawala wa sheria ,sio amri,utashi binafsi au ubabe.

VOTE FOR LISSU 2020
Hapo kura ni kwa Magufuli tu hamna namna. Huyu ndiye anayejua kutafuta pesa za kuendeshea nchi bila kutegemea mabeberu
 
Sisi na Magufuli, viva Magufuli

Na nyinyi ndiyo mnao mharibu. Na kama anasoma alama za nyakati, basi bora tu akang'ang'ania madaraka kama kaka yake Museveni au swahiba wake Kagame.

Kinyume na hapo, baada ya 2025 mtamgeuka na kuanza kumponda humu humu jukwaani kwa huu udikteta wake uchwara anaotufanyia sasa. Na haya ndiyo maisha halisi ya unafiki na uchumia tumbo jinsi yalivyo.
 
Tangu utoto wake amekua akipigania haki,
Aliwatetaa watu waliobomolewa nyumba zao bila fidia,kupisha uchimbaji madini.
Aliwatetaa watu ambao ndugu zao walizikwa hai,ili wapate Haki zao,
Aliwatetaa waliofungwa watu zaidi ya 400 waliofungwa kionevu,kiss mgogoro wa wawekezaji wa madini,wengi aliwatoa bure,hawakua na uwezo kifedha,
Hayo Ni mengi,tutayajadili mbele.

Leo hii mtu huyo anagombea urais.

Sasa utaachaje kumchagua mtu anaeahidi
Bima ya afya kwa watu wote,

Kodi rafiki kwa wafanyabiashara,

Nyongeza za mishahara kwa wafanyakazi sekta za Uma na binafsi,

Fidia kwa wafanyakazi kwa kunyima nyongeza miaka mitano,

Kuondoa vizingiti kwa wakulima ,ili kila mkulima awe huru kuuza ma,ao yake popote kwa Bei anayo taka,
Kurudisha riba ya awali kwa mikopo ya wanachuo,

Waliobomolewa kionevu kufidiwa,

Wanajeshi,Polisi,Tiss,Magereza,na mgambo kuongozwa mishahara na kutokushushwa vyeo,licha ya kumlinda jiwe,

Atashusha Bei za vifaa vya ujenzi,ili watu wawe na makazi Bora,

Wanaotaka kwenda nje kutafuta maisha kupata pass itakua rahisi,

Vitambuliaho vya machinga kuondolewa,

Kwangu Mimi Ni mwisho,unaweza kuongeza yako,lakini kubwa kuliko yote Ni kutumika katiba Pendekezwa na kamati ya Jaji Warioba,hapa ndio suluhisho la matatazo yooote nchi hi.

Kwa hayo machache Ni Nani mwenye Roho Safi,akili timamu na upendo kwa nchi na wananchi ataacha kumpigia kura mtu huyu?
Namaanisha kumchagua TUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISSU kuwa Rais wa Tanzania.

Ni mpenda Haki,
Mtanzania mwenzetu,
Ana Roho ya upendo na huruma,
Hapendi kuonea,Wala kuona mtu akionewa,
Mstaarabu,
Hana dharau,
Hana kiburi,
Hana visasi,
Hana kinyongo,
Hawezi kudhalilisha walio chini yake,
Anasikiliza ushauri,anashaurika anapenda kushauriwa,na hufanyika kazi ushauri baada ya kujiridhisha,
Ni mwanasheria,hivyo ataongoza nchi kwa utawala wa sheria ,sio amri,utashi binafsi au ubabe.

VOTE FOR LISSU 2020
MAGU UMENIUDHI SANA SIKUPI KURA YANGU
 
Tutamchagua Tundu Antipas Lissu kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye mkuu uchaguzi utakaofanyika tarehe 28 October mwaka 2020.
 
#NiYeye2020
 
Back
Top Bottom