Hivi unaweza kuoa Dada na Mdogo wake anayemfuata?

Hivi unaweza kuoa Dada na Mdogo wake anayemfuata?

Habari za leo
Nina mpenzi wangu ambaye ambaye ana mdogo wake wa kike ,mdogo wake alikuwa ananipigia mara kwa mara na kunisalimia kama kawaida baada na mdogo mtu ni mzuri sana kuliko dada yake ,,siku moja alinitarifu atakuja kunisalimia mie nikajuwa watakuja na dada yake ila cha kushangaza akaja pekee yake na katika story za hapa na pale tukajikuta tushavunja amri ya sita sasa juzi amenitext kuwa hazioni siku zake nikamwambia nenda hospital kapime jana kaenda kapima ana mimba
Pia dada mtu anamimba ya mitatu saiz na nilikuwa namalizia mchakato wa kumchukuwa aje kwangu..
Baada ya mambo yote hayo nimeamuwa kusitisha maana sijajuwa wazazi wao watanifanyeje?
Na je kuna tatizo lolote linaweza kunitokea endapo nikawaowa mtu na mdogo wake? Pia jamii itanichukuliaje? NAOMBENI USHAURI KUWA NIOWE WOTE MAAN NAWAPENDA KAMA HAKUNA MATATIZO YA KUOA FAMILIA MOJA MTU NA MDOGO

Huwezi amini! Lakini kuanzia leo ukiona mwanamke amekuja geto kiaina akajirahisi mara nyingi kinachofuata atakuambia ana mimba, ama anajua atapata hela kwa kisingizio cha kwenda kutoa au huko alikopata mimba hana uhakika na huyo bwanaake labda anajua hawezi kumuoa na labda keshamkataa baada ya kumwambia anamimba" nahisi unapigwa changa! Kama unakumbuka cku mliodu....mwambie unataka aitoe lakini kabla ya kutoa nataka tuende hsp tukapime kwanza mimba ina muda gani" akianza kuleta visingizio mara, huniamini...sijui...hunipendi..mara vile. Usimkolie. Jua ni changa" b.ada ya kama wiki mbili mi nilimwambia, nataka nikupeleke ukaanze clinic hakuna kutoa mimba" akakaa kma wiki hivi akanitext eti, wewe si umekataa kunisaidia nimeshaitoa mimba...! Nikajifanya nimepanik nikaenda kwao nikakuta amelala eti anaumwa! Nikamshikashika akalegea nikala mzigo tena! Hana nini wala nn! Nilivoondoka akanitext hivi... nakupenda xana japo una kichaa!
 
Eti mdogo ni mzuri kuliko? story za hapa na pale mkajikuta? Jamii itakuchukuliaje? Unawapenda wote? We
umeamuaje? Nani malaya hapo?
Jibu hayo maswali kisha nikupe ushauri.

Hamna malaya hapo bali ni shetan tu ndiyo alinipitia pia mie nauliza uwezo wa kuoa wote upo ?
 
Teeh teh hhapo utakosa bara na pwani. Hivi unampendaje huyo dada mtu na mdogo wake kwa pamoja?
 
Habari za leo
Nina mpenzi wangu ambaye ambaye ana mdogo wake wa kike ,mdogo wake alikuwa ananipigia mara kwa mara na kunisalimia kama kawaida baada na mdogo mtu ni mzuri sana kuliko dada yake ,,siku moja alinitarifu atakuja kunisalimia mie nikajuwa watakuja na dada yake ila cha kushangaza akaja pekee yake na katika story za hapa na pale tukajikuta tushavunja amri ya sita sasa juzi amenitext kuwa hazioni siku zake nikamwambia nenda hospital kapime jana kaenda kapima ana mimba
Pia dada mtu anamimba ya mitatu saiz na nilikuwa namalizia mchakato wa kumchukuwa aje kwangu..
Baada ya mambo yote hayo nimeamuwa kusitisha maana sijajuwa wazazi wao watanifanyeje?
Na je kuna tatizo lolote linaweza kunitokea endapo nikawaowa mtu na mdogo wake? Pia jamii itanichukuliaje? NAOMBENI USHAURI KUWA NIOWE WOTE MAAN NAWAPENDA KAMA HAKUNA MATATIZO YA KUOA FAMILIA MOJA MTU NA MDOGO

Kuoa mtu na dada yake inawezekana. Kuna Mzee mmoja anaitwa Sir George Kahama, ni mtu na heshima zake katika jamii lakini ameoa mtu na mdogo wake kabisaa wa tumbo moja.
 
Back
Top Bottom