Granted Faith
Member
- Jul 4, 2021
- 57
- 292
Ni label ya Wamakonde na ndiyo maana imechukua jina la kabila.Konde gang hyo ni label mkuu sio wasanii
Hivi unashabikiaje Konde Gang wakati wewe ni kabila tofauti na hilo Means hata kabila lako ulikubalii
Then Me naona Jina Konde limekaa kikabila mno no swag at all
Konde Gang ni special kwa Wamakonde tuu
Kishamba sana yani.Jina la kishamba sana
Chitohori TandahimbaUnapata taabu sana ukiwa waap mkuu
S A N D A K A L A W E!!!!
Branding ni tatizo sana Bongo. Hii ni taaluma lkn watu wadhani unaweza kuibuka na jina tuu ukatupa kwenye biashara.Hivi unashabikiaje Konde Gang wakati wewe ni kabila tofauti na hilo Means hata kabila lako ulikubalii
Then Me naona Jina Konde limekaa kikabila mno no swag at all
Konde Gang ni special kwa Wamakonde tuu
Nyakyusa music worldwide.. worldwide!Konde music worldwide.. worldwide!
Kwa wale wakongwe, wanajua kulikua na baathi ya band za muziki zilikua zinatambuka kwa majina ya mikoa, lakini sisi walaji tulikua hatuangalii jina, bali burudani. Mfano: Dar Jazz AKA, majini wa Bahari, Tabora Jazz, Moro Jazz, Mitonga Jazz, Amboni Jazz na band zingine.Ni label ya Wamakonde na ndiyo maana imechukua jina la kabila.
Mfano kuwe na:
-Kurya gang
-Zaramo gang
-Nyakyusa gang
-Masai gang
And so on and so forth.