Hivi unafiki, umbea na kuharibiana ndoa ni hulka ya watu weusi?

Acha umalaya wewe, Yaani ume-date watu wa mataifa yote hayo? Ulipowafuata unadhana hawakuwa na Wapenzi? Wewe Ndio ulikuwa wa kwanza? You are also part of the problem lakini kwa ku-date hao other nationalities ina confirm kuwa hicho unachokizungumzia na kuamini hakipo. Ujue kipo, uwe unatumia akili
 
Unalolisema ni kweli kabisa Mkuu. Kuna watu hawapendi kuona wapenzi wakapendana na kuelewana kupita kiasi. Wataleta umbeya na kupandikiza mbegu za chuki na kusambaza maneno yasiyo na kweli yoyote ile ili kuwagombanisha. Wataacha shughuli zao za maana ili kuwafuatilia wale wapendanao na kutaka kujua kila litokealo ndani ya maisha yao. Ndio maana baadhi ya watu wameweka mipaka ya urafiki na akiona mtu anataka kuivuka hiyo mipaka ya urafiki ili kufuatilia maisha ya mwenzie basi huamua kukata mawasiliano yote na muhusika. Baadhi ya Waafrika ndivyo walivyo.
Nimeamua kuuliza swali hilo hivyo, si kwakua ninadharua rangi yangu lakini ni kitu ambacho kimenipa hasira sana.
Nimekua na relationships za kutosha mpaka sasa nilipoamua kutulia. Kati ya vitu ambavyo nime notice ni kua wa afrika hupenda zaidi kuingilia mapenzi ya watu wawili na kumwaga sumu za umbea na unafiki kwa nia ya kuharibu relationship.

Nikafikiria mbona when I was dating other nationalities kitu kama hio hakuna. Japanese, Whites, Chinese hata arabs na indians to a lesser extent hawana tabia za kuzusha uongo kwa wapendanao ili kuharibu relationship, zaidi mwanamke atajirahisisha na kukutongoza kivyake sio kwa kumharibia mwenzake.
Kuna ma best friend kibao wanamfwata girl wangu na kuongea mambo yasiyo kweli, other bitches way below my standards and league nao wanatafuta jinsi ya kuharibu wakati hata nikiachana na mpenzi wangu siwezi hata kufikiria kuwatongoza.
At times I see no reason why people decide to ruin a persons relationship.

IS THIS NEGATIVE AND DESTRUCTIVE BEHAVIOUR AN AFRICAN THING.
 
Hahaha brigita na womanofsubstance, you have made me smile :):)
Swala la kuandika kuwa nime date foreigners ni kujaribu kujulisha kuwa nina first hand experience from what I'm saying na sio kwamba nimesikia kwa watu wengine. Sio kujifanya hahahaha!!
And ofcourse kila mtu ana viwango, hata nyie naamini mtakua na viwango ( I really hope so!!) You can "love" all but you certainly can't pull down your panties for all.
Kuna mtu mwengine akikufwata inambidi umsifu tu kwa courage aliyokua nayo na kumwambia aendelee kukufikira katika ndoto zake.
Nyani Ngabu kasema kua
Nakubaliana nae, lakini ni hilo swala la VIWANGO TU ndio haswa nalo lisisitizia.
Na si kwamba tunajidharau watu weusi na kuwapa sifa weupe, hapana in actual fact I used to prefer my woman of colour than others and I'm happily maried to a bantu queen at the moment, ila ni kitu evident in the circles of friends we have, tukienda kwenye gatherings au parties, maofisini their seems to be a relatively higher level of gossiping WITH THE INTENT OF RUINING A RELATIONSHIP in black peoples conversations than others (Arabs and Indians follow very closely but we take the crown).

Unajua kuna gossip za kawaida, flani kafanya hivi, kamtokea flani na kuna gossip zingine mtu anakufwata anakwambia mke wako alikua demu wa mshkaji wangu na wanatumiana message za mapenzi e.t.c. when it's not true!! Fine ni mtu na mtu cause wengine hawana lakini if you look closely uta realise sisi weusi kwa asilimia kubwa zaidi ya wenzetu ndivyo tulivyo.
At uni rafiki wa girfriend wangu had the hots for me, she didn't find dirt on her friend but instead displayed more of her attributes untill a nigga had to do what he had to do for fear of being labeled gay. ;);). Those were the younger years!!
It's an observation!! Na nafikiri ntafanya studies nije na facts kabisa.

Leo thread za zaman cjui
 
Watu ni wambea mamaeee, umbea hadi kwa watu wasowajua
bora hata wewe unafanyiwa umbea na watu wanaokujua
ukiwa kwenye mapenzi weka earphones vaa miwani ya mbao....
 
Ukitaka jua kuwa mapenzi yenu yako salama ngoja zianze kelele za watu ukiwa wataka oa au uoe afu mtoto asipatikane
Hata kama kelele za chura hazimzuii ngombe kunywa maji siku hiyo ngombe ataogopa hata kwenda mtoni
 
Yaan leo natafuta nyuzi za kunichekesha hata sizionii aaaaaarrggggggjhhh
 
Achievement kubwa ya MuAfrica Mpaka sasa ni kuoa/kuolewa na kuzaa sasa ukiwa umefika kwenye Mikakati hiyo lazima Waungwana wanaokuzunguka waone Bonge ya Deal , Kuharibu na kupaka ----- , MiAfrica Ndivyo Tulivyo !Hata Mwanamke ugundue Ndege kama Hujaolewa hawataona kama umefanya Jambo kubwa hata kidogo ! Utaishia kudharaulika tu
 
Watu ni wambea mamaeee, umbea hadi kwa watu wasowajua
bora hata wewe unafanyiwa umbea na watu wanaokujua
ukiwa kwenye mapenzi weka earphones vaa miwani ya mbao....

Yaan watu waongo piaa mpaka wanaudhii yaan mi nishaamua nikisemwaa ndio navimba kichwaa haswaaa,yaan sisikiliziii wala siambiwiiiiii
 
Achievement kubwa ya MuAfrica Mpaka sasa ni kuoa/kuolewa na kuzaa sasa ukiwa umefika kwenye Mikakati hiyo lazima Waungwana wanaokuzunguka waone Bonge ya Deal , Kuharibu na kupaka ----- , MiAfrica Ndivyo Tulivyo !Hata Mwanamke ugundue Ndege kama Hujaolewa hawataona kama umefanya Jambo kubwa hata kidogo ! Utaishia kudharaulika tu

haswaaaaaaa
 
Acha umalaya wewe, Yaani ume-date watu wa mataifa yote hayo? Ulipowafuata unadhana hawakuwa na Wapenzi? Wewe Ndio ulikuwa wa kwanza? You are also part of the problem lakini kwa ku-date hao other nationalities ina confirm kuwa hicho unachokizungumzia na kuamini hakipo. Ujue kipo, uwe unatumia akili
Hehehe braza mbona hasira!
Yes I was a player tena mbaya, lakini umri na mazingira yalikua yananiruhusu NO REGRETS!!
Hapo kwa red umeniacha sijakuelewa!

By the way haya ma post ya mwaka arobaini na saba imekueje tena?
 
Mkuu hujawauliza wanaokusema to ur chick? Na kama umewauliza wamekuambia sababu ni nini? Jibu kwanza
 
hahahhahaaaa Mpwa wangu nimecheka sana sana kumbe kweli post ya 2010, basi yaishe tuyaache kama yalivyo, have a blessed Monday
Hehehe braza mbona hasira!
Yes I was a player tena mbaya, lakini umri na mazingira yalikua yananiruhusu NO REGRETS!!
Hapo kwa red umeniacha sijakuelewa!

By the way haya ma post ya mwaka arobaini na saba imekueje tena?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom