Inamaana umemshusha sana hadhi kwa kutomjali au kumthamini ilihali we mwenyewe haushikiki kiuchepukaji.
So anaona aanze mapema kukutahadharisha kuwa bado atavutia wengine ili urudi kwenye reli kabla hajaanza kukulipizia la sivyo usije kumlaumu akija kuamua lolote ataloona ni sahihi kwake kufanya ili alipize kisasi(akukomoe).
diffence mechanism...psychological torture...overAnakutishia
Anakujaribu
Anajionyesha kwamba mda wowote anaweza kukuacha
Humbabaishi
Defense mechanism
Physiological torture
Mapenz yamepungua
There is possibilities huyo ni who're
Unajua unatakiwa kufanya nini kuchukua pts tatu muhimu kubadili mchezo?
I'm alcoholic but I have a brain super duper brain
diffence mechanism...psychological torture...over
Ni kwamba kajua unadanga/ unamakoloni nje tayari ..anakujulisha kua akitaka kufanya pia hashindwi sema anajiheshimu na kukuheshimuKwa wale wajuvi wa mambo.
Kauli hii toka kwa mpenzi wako/mkeo/mama watoto wako ina maana gani?
Nawasilisha.
View attachment 1231867
Kwamba Angalia matendo yako hata yeye anaweza kuwakubali ni vile anajiheshimu na kukuheshimu sana
Cc Smart911
Co kukuletea nyodo Kuna mnakera had mtu anaona akuchane t maana Mambo mnayofny mnahc km huyu mwanamke hawez fny chochoteMimi huwa naanza kupunguza asilimia za kumuweka akirini. Niliwahi kuvunja mahusiano.kama Mara kumi hivi kwa kauli za namna hii. Huwa najua kutombwa nje hakuzuiliki endapo mtu kaamua ila hakikisha sijui na usiniletee nyondo.
Leta taarifa nzima, mlikuwa mnaongelea nini au jambo gani limepelekea kutoa matamshi haya?Kwa wale wajuvi wa mambo.
Kauli hii toka kwa mpenzi wako/mkeo/mama watoto wako ina maana gani?
Nawasilisha.
View attachment 1231867