hivi unaata picha gani ukiwa katikahali hii

Inauma sana ukizingatia hela alizoendea India ni kodi mnazolipa walalahoi
 
Nyie si mabwe..ge na mwakani muwape tena kura za kishindo na safari ijayo mkeo kama mzuri ni halali yao sie tubaki hewala kila kitu heewalaa.
 
matusi ya nini tumia lugha ya kisomi sio ya wanawake wa kiswahili bhana.
 
Basi tu wapu...mba.vuuu manake hata kwenye vitabu vitakatifu limo unataka nipambe ili watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
sikushangai humu kuna kila aina ya watu kwani kumwelewesha mtu lazima utumie matusi na stress tuachane na hayo hili ni jukwaa la kupata maarifa na kukuza uwezo wa kujieleza poleeeeee
 
Wajinga ndio waliwao na TZ tuko wengi sana! Tumenyimwa elimu bora matokeo yake ni kukubali tu hata kama unaona haifai!
 
hapo utajikuta unapasua redio vipandevipande eti umepata hasira.. Lol!
 
Basi tu wapu...mba.vuuu manake hata kwenye vitabu vitakatifu limo unataka nipambe ili watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Kweli aisee inaniuma zaidi ninapofikiria hawahawa wanyonge waliowengi ndo watakao yarejesha magamba madarakani, tuamke jamani CCM ni JANGA ZAID YA EBOLA!
 
Basi tu wapu...mba.vuuu manake hata kwenye vitabu vitakatifu limo unataka nipambe ili watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Huyu nae kalipanda train kwa mbele unaowaita wapumbavu na mabwege ni akina nani hasa? Manake kwa mtazamo wa haraka wote tuna sympathize na hali hii it is not acceptable and there is way we can vote for them. Why don't you go find these who will vote for them na uwatukane hayo matusi yako.
 
Nyie si mabwe..ge na mwakani muwape tena kura za kishindo na safari ijayo mkeo kama mzuri ni halali yao sie tubaki hewala kila kitu heewalaa.

Kwani tunawapa au wanazichukua kwa nguvu? Usipowapa wanapora, hadi marehemu wanapiga kura!
 
Huyu nae kalipanda train kwa mbele unaowaita wapumbavu na mabwege ni akina nani hasa? Manake kwa mtazamo wa haraka wote tuna sympathize na hali hii it is not acceptable and there is way we can vote for them. Why don't you go find these who will vote for them na uwatukane hayo matusi yako.

Mwaka wa 50 huu na kila baada ya miaka mitano huwa tunafanya uchaguzi kuwachagua viongozi mbalimbali kama kwa kipindi cha miaka mitano umeona wale uliowachagua wameenda kinyume na matarajio ya wengi inakuwaje tena uwape kura tena bila hata hofu ya Mungu kwa vile weshajua udhaifu waliokuwa nao watu wengi wameanza kuridhishana madaraka na sie bado tupotupo tuu hosp hamna huduma muhimu , vifo vya kina mama na watoto ndio usiseme ,
Ukija kwenye elimu ndio usiseme hapa nazungumzia zile shule za walalahoi yaani watu wa kipato cha chini manake kwenye elimu tanzania zipo za aina mbili.
Mosi ni zile za wenye nacho , pili ni zile za wananchi wa kipato cha chini , na hapa haiwezi tokea miujiza watawala watoe elimu iliyo bora na nzuri kwa vile wanajua ndio mwanzo wa kuwatoa kwenye uzuzu wa akili kwa walio wengi na ndio maana nikasema wanatumia uzuzu wetu tulionao kututawala,
Kama kweli tunataka mabadiliko ya ukweli tuache kulalamika tufanye uamuzi wa busara tuuweke uongozi mpya ili gurudumu la maendeleo liweze kusonga mbele miaka 50ni nusu karne bado kuna watoto wanasomea chini ya miti wengine wanasomea chini ilhali kuna misitu ya mbao mingi tu na bado wanaendelea kushinda kwa kishindo ulitaka upambwe kwa jina gani hapo.
 
You are preaching the already saved ones, unagawa dozi kwa wasio wagonjwa you know exactly ni akina nani wanawarudisha hao watawala jamii ya kina 6 madarakani, Ujumbe huu unawafaa wao. Nimeanzza kupiga kura 1995 not once i have voted for this shit
 
Sisi wa hali ya chini ni mtihani kwa kweli
 
sikushangai humu kuna kila aina ya watu kwani kumwelewesha mtu lazima utumie matusi na stress tuachane na hayo hili ni jukwaa la kupata maarifa na kukuza uwezo wa kujieleza poleeeeee

Umetumwa!!!!!!!??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom