Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,020
Wewe!! Sio wote tuko hivyo bana, wengine sie tuko bize na makontena yetuHawa jamaa bila shaka ni ukoo mmoja na Bashite.Wale jamaa toka kule ndo wana tabia hizi
Wewe!! Sio wote tuko hivyo bana, wengine sie tuko bize na makontena yetuHawa jamaa bila shaka ni ukoo mmoja na Bashite.Wale jamaa toka kule ndo wana tabia hizi
[emoji23][emoji23][emoji23]mi mwenyewe kuna ka'upuuzi flani niliwazaHahahahaa
Kwa nilichokiwaza baada ya kuona heading nimegundua
Nina mawazo machafu inapaswa niombewe
pole mkuu Hz heading...... unaweza jikuta unapata mfadhaiko aiseee....Hahahahaa
Kwa nilichokiwaza baada ya kuona heading nimegundua
Nina mawazo machafu inapaswa niombewe
Nilitegemea kuona mtu akinyonya kisima cha uzimaKwani ulitegemeaje mkuu...?
Kwa picha hii nimeamini bila shaka mkuu,Wote wote wananyonya mkuu. Wakubwa na wadogo si unaona apo aisee.
Hahaaa. Lol[emoji23][emoji23][emoji23]mi mwenyewe kuna ka'upuuzi flani niliwaza
Hahaaa. Nimeona mwaya yaani amezubaa sijui anapata raha gani pale.Hahahah.
Thanks my loveliest. Umeona kitu kinavyonyonywa mwaya...?
Kwa hisia zote my dear. Hahah.
Mungu akurehemu shem[emoji23]Hahahahaa
Kwa nilichokiwaza baada ya kuona heading nimegundua
Nina mawazo machafu inapaswa niombewe