hivi ulishawahi jiuliza..

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
34,060
61,443
ebwana wee siku hizi naona kwamba most ladies ukiwagusa wanakwambia kuwa ana bf au just from a relationship. sasa wewe kama ndio unaingia kwenye mahusiano ulishawahi kujiuliza uhusano wa mwhisho wa huyo mwanamke kweli uliisha on gud terms ama vipi? je kama bado kuna mafeelings hapo niaje?
 
Mh jaman nyie mnaanza chapter mpya background zenu ziweken pemben ni irrelevant kwenu kwa ss. cha msing labda mpime hiv tu! there aft maisha mengine yanaendelea lol. cheerz. g9t.
 
Mh jaman nyie mnaanza chapter mpya background zenu ziweken pemben ni irrelevant kwenu kwa ss. cha msing labda mpime hiv tu! there aft maisha mengine yanaendelea lol. cheerz. g9t.

weeee....hiyo ni very relevant obsesd maana wanaweza kuwa wanasema wameachana kumbe wamebakia kuwa hawara ssa wewe utakuwa unajienjoy na huyo jamaa...loh!!! sitaki mie
 
Hilo swala ni gumu sana ndg. Bora uliache kama lilivyo "awali ni awali siku zote"
 
weeee....hiyo ni very relevant obsesd maana wanaweza kuwa wanasema wameachana kumbe wamebakia kuwa hawara ssa wewe utakuwa unajienjoy na huyo jamaa...loh!!! sitaki mie

Tatizo lako ndugu umeshaathirika kisaikolojia hauamin kbs kuwa kuna wana mahusiano yao na hawana cheatin stuffs, nikuambie tu sio wote. ila kukutoa uko uliko kimawazo nadhan siwez labda ukapate ushaur kwa watoa ushaur nasaha. gdluck.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…