Baba Jesca ni fisadi mkubwa kuliko wote waliowahi kutokea hapa nchini .Wakuu napenda kujua hii habari ya utajiri wa afuta na gesi iliyovuma sana kuanzia mwaka 2013 imeishia wapi?
Maana tuliambiwa umaskini basi tena baada ya gesi kugunduliwa Tanzania.
Naomba kujuzwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
StatOil wanarudi mwezi wa 10 kuanza kujenga hiyo plant pale Lindi.. Rais wao alikuwa Tz majuzi tu hapa kuweka mambo sawaSiasa za CCM zilikwamisha mradi wa kiwanda cha CNG...
Uzalishaji wa CNG ndio ungekuwa unaiingizia nchi mkwanja maana nchi ingekuwa inafanya exportation...
Hadi sasa gesi inauzwa ndani tu ya nchi na ni kwa viwanda kina Dangote, Twiga etc na Tanesco (ambaye sidhani hata kama wanalipa hela hawa)...
"Akili za Kuambiwa, Changanya na Zako"Wakuu napenda kujua hii habari ya utajiri wa afuta na gesi iliyovuma sana kuanzia mwaka 2013 imeishia wapi?
Maana tuliambiwa umaskini basi tena baada ya gesi kugunduliwa Tanzania.
Naomba kujuzwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ikichangaika na gesi ni hatari..."Akili za Kuambiwa, Changanya na Zako"
-JK
Mi nilijua Tanzania ingekua tajiri sana,yani kwa sifa zilizo tolew juu ya ujazo wa gesi nilidhani sasa itatirirka majumbani kama maji ya dawasko. mambo ya kupikia mkaa kuni umeme n.k yangebak historia lakini sasa....!!!!
Umenikimbusha hii ya laptop [emoji16][emoji16][emoji16] cjui alikuwa anafikiri nn kusema hivyoMkuu sisi tumezaliwa katika nchi yenye maziwa na asali. Baada ya gesi ya bure ilifuatia milioni 50, kila kijiji, ikaja laptop kwa kila mwalimu kama hivyo havitoshi tulianza driving schools kwa na tayari kwa kuendesha Noah, the order was 1 Noah per head for each and everyone of us.
Mi nilijua Tanzania ingekua tajiri sana,
GDP Per Capita ingezidi nchi zote duniani,
Sisi ndio tungekua Donor Country, then Wamarekani na Waingereza wanakuja kwetu kuomba misaada ya kiuchumi,
Wakuu napenda kujua hii habari ya utajiri wa mafuta na gesi iliyovuma sana kuanzia mwaka 2013 imeishia wapi?
Maana tuliambiwa umaskini basi tena baada ya gesi kugunduliwa Tanzania.
Naomba kujuzwa.
Sent using Jamii Forums mobile app