Hivi ulaya kuna watu wanakufa kwa ukimwi?!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,406
Naamini ulaya na Marekani wana dawa ya ukimwi, naona wao hawazungumzii AIDS, wakiuzungumzia ni in relation to Africa
 
Hapo Kuna vitu viwili , Vifo kwa ugojwa wa ukimwi na Uwepo wa huo ukimwi huko ulaya.
 
Weee ulaya kuna ukimwi kama kawa hata UsA watu wanakufa kwa ukimwi sana especially ma blacj americans.
Hutaki acha
 
hakuna cha lishe wala nini,tanzania kuna baadhi ya watu wanakula vizuri kuliko wa ulaya na wanadanja fasta
 
Freddy Mercury vipi?
dQwMgpsh2nvuja1oZJiP2qbko1_500.jpg
Poster-Freddie-Mercury-Union-Jack.jpg
 
Ulaya na marekani hakuna ukimwi hutaki unaacha

Kiwango cha maambukizo ni kidogo but upo.sana sana maeneo yenye wageni wengi.mfno marekani kama Calfonia.New york upo juu tofauti na state kama missouri.
 
Krenea nimesema ukimwi wanao, but wanatibiana wenyewe ndo mana hata ww umesema aids ipo zaidi maeneo ya wageni.
 
Yule mcheza kikapu wa enzi zile Megic Johnson tangu ajitangaze miaka ileee mpaka Leo anadunda,mi naona mambo flani ya lishe Afrika ndio tatizo...

Na elimu nayo ndugu ukimwi kama ulivyo ukiweza kugundua ndani ya masaa 72 una hatari ya kuwa umeambukizwa huo ugonjwa una uwezo wa kutumia zile dawa na kupona kabisaaa sema huku kwetu hiyo elimu watu elimu ya kujitambua bado saaana.
 
ndugu lynga,huko marekani wanapima ukimwi kila baada ya siku 3 ndo mana mtu akipata virusi ndani ya 72 hrs anajigundua?
 
Yule mcheza kikapu wa enzi zile Megic Johnson tangu ajitangaze miaka ileee mpaka Leo anadunda,mi naona mambo flani ya lishe Afrika ndio tatizo...

Lishe ndiyo tatizo letu na ndiyo maana huku afrika tunakufa sana na huo ugonjwa.
 
uhuru junior unanambia wote wanaokufa kwa ngoma bongo wanatatizo la lishe? hatuna matajiri wanyengoma hapa?!
 
Back
Top Bottom