Hivi ulaya kuna watu wanakufa kwa ukimwi?!

Hivi ulaya kuna watu wanakufa kwa ukimwi?!

Madawa yapo mengi na mtu akishagundua kwamba ameathirika anpewaga.. Pia kuna sindano fulani unayoweza kujichomea ndani ya 48 hours or so, ukiwa unahisi umejipatia mavirusi, ila bei. Na wanaotumia hii sana sana ni madaktari na wengineo wanaofanya kazi hospitalini, kwa mfano mtu akijichoma kwa bahati mbaya na kisu kilichotumika kwenye upasuaji
 
uhuru junior unanambia wote wanaokufa kwa ngoma bongo wanatatizo la lishe? hatuna matajiri wanyengoma hapa?!

Sijasema wote ila ukimwi unamaliza wengi afrika lishe ikiwa ni sababu kubwa.
 
UKIMWI haujawahi kuua mtu hata bongo wanalamba mchanga kwa magonjwa mengine tu.
 
Nini maana ya ukimwi?
Ukishajua hilo ndo utajua kama unaweza kufa kwa ukimwi au la!
 
Google mama Elizaberth Glaser alikufa kwa nn miaka hyo utapata jibu kama upo ama haupo
 
Naamini ulaya na Marekani wana dawa ya ukimwi, naona wao hawazungumzii AIDS, wakiuzungumzia ni in relation to Africa

USA - 2012 Statistics
Number of people living with HIV: 920,000 - 1,800,000 | Adult HIV prevalence: 0.4 - 0.9%
​
There are currently around 1.1 million people living with HIV in the United States of America (USA), with 16 percent unaware of their infection. 1 2 Since the beginning of the HIV and AIDS epidemic, 600,000 people have died of AIDS-related illnesses in the United States of America. 3
Although the USA may be the greatest national funder of the global HIV epidemic (largely through the President's Emergency Plan For AIDS Relief, or PEPFAR), it is still facing a major ongoing HIV epidemic itself, with around 50,000 new infections per year. Stigma and discrimination continue to hamper people's access to HIV prevention, testing and treatment services, fuelling the cycle of new infections.
The USA lacked a comprehensive plan on HIV until 2010 when President Obama created a National HIV/AIDS Strategy. It is structured around three core aims: reducing new HIV infections, increasing access to care and improving health outcomes for people living with HIV, and reducing HIV-related disparities and health inequities. 4

[h=2]Who is affected by HIV in the United States of America?[/h]
The NAMES Project AIDS quilt​
The HIV epidemic has been more serious among some groups than others. In the 1980s, the most commonly identified ‘ vulnerable groups’ in the USA were men who have sex with men, injecting drug users, haemophiliacs and Haitians. However, the inclusion of Haitians in this group caused a lot of controversy. Find out more on our History of HIV in the United States of America page.A 2010 study found that wealth also determines vulnerability; HIV prevalence was four times higher among heterosexual people in poor urban neighbourhoods than the national average. 5 Within these high-poverty areas HIV prevalence didn't change depending on race or ethnicity. Rather, higher HIV risk was attributed to high HIV prevalence, limited access to health care and other basic services, and high rates of substance abuse and incarceration. 6
It is not solely individual behaviour, but also a person's sexual network which determines an individual's HIV risk in the USA. For example, African American males are much more likely to be infected because of the high HIV prevalence in this community and a tendency to choose racially similar partners.
The table below compares the percentage of new HIV diagnoses among various ethnic groups to the percentage of the population that each ethnic group represents. There were 42,181 new infections in 2011. 7
RACENUMBER OF NEW HIV DIAGNOSES IN 2011 8% OF POPULATION 9
47.05%13.1%
28.44%63%
20.28%16.9%
1.95%5.1%
1.68%2.4%
0.45%1.2%
0.16%<1%

[TD="class: row_title"]Black/African American[/TD]

[TD="class: row_title"]White[/TD]

[TD="class: row_title"]Hispanic/Latino[/TD]

[TD="class: row_title"]Asian[/TD]

[TD="class: row_title"]Multiple races[/TD]

[TD="class: row_title"]American Indian/Alaska Native[/TD]

[TD="class: row_title"]Native Hawaiian/Other Pacific Islander[/TD]

- See more at: HIV & AIDS in USA | AVERT
USA - 2012 Statistics
Number of people living with HIV: 920,000 - 1,800,000 | Adult HIV prevalence: 0.4 - 0.9%

There are currently around 1.1 million people living with HIV in the United States of America (USA), with 16 percent unaware of their infection. 1 2 Since the beginning of the HIV and AIDS epidemic, 600,000 people have died of AIDS-related illnesses in the United States of America. 3
Although the USA may be the greatest national funder of the global HIV epidemic (largely through the President's Emergency Plan For AIDS Relief, or PEPFAR), it is still facing a major ongoing HIV epidemic itself, with around 50,000 new infections per year. Stigma and discrimination continue to hamper people's access to HIV prevention, testing and treatment services, fuelling the cycle of new infections.
The USA lacked a comprehensive plan on HIV until 2010 when President Obama created a National HIV/AIDS Strategy. It is structured around three core aims: reducing new HIV infections, increasing access to care and improving health outcomes for people living with HIV, and reducing HIV-related disparities and health inequities. 4
Who is affected by HIV in the United States of America?

The NAMES Project AIDS quilt
The HIV epidemic has been more serious among some groups than others. In the 1980s, the most commonly identified ‘ vulnerable groups’ in the USA were men who have sex with men, injecting drug users, haemophiliacs and Haitians. However, the inclusion of Haitians in this group caused a lot of controversy. Find out more on our History of HIV in the United States of America page.
A 2010 study found that wealth also determines vulnerability; HIV prevalence was four times higher among heterosexual people in poor urban neighbourhoods than the national average. 5 Within these high-poverty areas HIV prevalence didn't change depending on race or ethnicity. Rather, higher HIV risk was attributed to high HIV prevalence, limited access to health care and other basic services, and high rates of substance abuse and incarceration. 6
It is not solely individual behaviour, but also a person's sexual network which determines an individual's HIV risk in the USA. For example, African American males are much more likely to be infected because of the high HIV prevalence in this community and a tendency to choose racially similar partners.
The table below compares the percentage of new HIV diagnoses among various ethnic groups to the percentage of the population that each ethnic group represents. There were 42,181 new infections in 2011. 7
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]
RACE​
[/TD]
[TD]
NUMBER OF NEW HIV DIAGNOSES IN 2011 8​
[/TD]
[TD]
% OF POPULATION 9​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Black/African American
[/TD]
[TD] 47.05%
[/TD]
[TD] 13.1%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] White
[/TD]
[TD] 28.44%
[/TD]
[TD] 63%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Hispanic/Latino
[/TD]
[TD] 20.28%
[/TD]
[TD] 16.9%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Asian
[/TD]
[TD] 1.95%
[/TD]
[TD] 5.1%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Multiple races
[/TD]
[TD] 1.68%
[/TD]
[TD] 2.4%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] American Indian/Alaska Native
[/TD]
[TD] 0.45%
[/TD]
[TD] 1.2%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Native Hawaiian/Other Pacific Islander
[/TD]
[TD] 0.16%
[/TD]
[TD] <1%
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
- See more at: HIV & AIDS in USA | AVERT
 
Hawaponi. Usidanganyike. Wanai-control kwa madawa na lishe ili isilete madhara haraka mwilini. Lakini pia usambaaji wake si kama huku kwetu. Imethibitishwa kwamba miili ikiwa na maradhi mengine, ni rahisi zaidi VVU kuingia katika system ya mwili wa mtu. Kwa mimalaria yetu na migonjwa mingine tunayoishi nayo huku miili inakuwa tayari dhaifu. Usambaaji wa ugonjwa huu pia unaendana na utamaduni wa watu. Hii kitu inaitwa condom imekuwa ikitumika huko kwa muda mrefu. Na watu wanapotumia haichukuliwi kama suala la kutomwamini mshirika wako. Inachukuliwa kama kawaida tu unahitaji kufanya hivyo. Wengi sana wanazitumia tu. Lakini dawa ya kutibu kabisa, hakuna.
 
Asante ndugu bahati sasa nipata elimu yako: Ukimwi wanao na wanakufa
 
Ukimwi upo ila ukigundulika unasamabaza makusudi adhabu yake si ya kitoto
 
Moja Kati ya vitu nilivyojifunza huku ulaya ni kwamba michepuko ni kidogo Sana....wazungu hawana tabia ya kuwa karibu (socialize) Kama sisi...pia suala la afya ni kipaumbele cha kwanza kisheria ndio maana husikii hayo mambo
 
UKIMWI hauui wala haujawahi kuua mtu hapa duniani, nikupe mfano rahisi, kwani wewe tangu uanze kuhudhuria misiba ulishawah kusikia marehemu kafariki kwa ugojwa wa UKIMWI?! mkuu kinachoua ni MAGOJWA NYEMELEZI!
 
Moja Kati ya vitu nilivyojifunza huku ulaya ni kwamba michepuko ni kidogo Sana....wazungu hawana tabia ya kuwa karibu (socialize) Kama sisi...pia suala la afya ni kipaumbele cha kwanza kisheria ndio maana husikii hayo mambo

Mh! Hilo la michepuko nawasiwasi nalo.
 
ndugu lynga,huko marekani wanapima ukimwi kila baada ya siku 3 ndo mana mtu akipata virusi ndani ya 72 hrs anajigundua?

Kuweza kugundua kama umeathirika ama lah unahitaji kwenda kupima. Kwa kawaida tokea upate maambukizi ya virus vya ukimwi.inahitaji muda mfupi wa miezi mitatu ili viweze kuonekana vizuri katuka mwili wako. Kunawengine inachukua mpaka niaka miwili

Kinachozungumziwa ni kama umegundua umepita ama umejihusisha kwa namna moja ama nyingine kwenye matendo hatarishi .. una nafasi ya kwenda kupima na kuangalia afya yako. Kabla hawaja kupa hizo dawa PEP, itabidi vipimo vioneshe kwamba hauna ukimwi. Ndo hizo dawa zinafanya kazi. Vinginevyo hizo dawa ni sumu na zitaharakisha kifo chako

Kwa nadharia ya kawaida. Virus vinahitaji zaidi ya masaa sabini na mbili ili viweze kujisambaza kutokea katika lymph nodes. Yaani kama leo ukipata virus havisambai mwilini bali vinaishi kwenye lymph nodes .sehemu za maungio ya viwili viwili kama makwapa, na maungio ya miguu kwenye sehemu za siri. Virus huishi humo kwa saa 72 halafu husambaa. Kazi ya PEP ni kwenda na kuziba hizo lymph nodes ili visiweze kutoka na kuzaliana. Na kuzaliana ni pamoja na kuua cell nyeupe za damu. Na kwenye lymph hakuna cell za damu.

Kuhusu swala la wazungu kutokufa kwa ukimwi ni swala la nadharia sana maana case nyingi za ukimwi ni za watu wa afrika na asia..ukitoa waarabu ambao wao ni wasiri sana kwene kuweka hii mambo wazo.

Kirusi cha ukimwi kama virusi vingine vyovyote ni kazi za maabara. Na hakuna ugonjwa unaosababishwa na virusi ukawa na tiba bali kutakuwa na chanjo tu. Kirusi sio kiumbe hai na hakina sifa ya kiumbe hai bali kina sifa za kuwa kimetengenezwa maabara.

Mfani wa kirusi cha ukimwi..kililetwa kiwe na sifa kama ya seli ya binadamu kilichoathirika na cancer. Yaani kirusi kikiingia kinaathiri cell na cell zingine kushindwa kukiondoa.

Nadhani hapa inatosha kama una maswali utaniuliza.
 
Back
Top Bottom